Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 769
- 790
Yani umenifanya nicheke sana,
Duuh! Si kwa madongo hayo.
Dada sioni hapo kama kuna uchoyo hivi simu zote zilivyoojaa hawajaweza hata kumpigia mwenyeji wao kama wanakwenda kumuona. Sasa kama wangelikula si jamaa angelala na njaa na kubakia kuwasema. Bora alivyo waabia kuliko kuwasemaHuo ni uchoyo uliovuka kiwango,
Duuuh hata aibu huoni eti 'kuna kosa lolote nililolifanya?'
Shame.
yes it was rude. kwani mngegawana four ways hata kama ni kidogo, mngepungukiwa nini? wakati chakula chote unaenda kukiacha chooni!Hellow,
Mimi nakaa nyumba moja na rafiki yangu ambae ni teacher wa sekondari, na kwenye bajeti yetu ya mwezi kila cku tumeweka portion ya watu 2, kwenye swala la msosi.
Juzi Juzi ticha alitembelewa na rafiki zake wawili wa kiume muda wa mchana, walimkuta teacher akiwa anapika, chakula kilipoiva, teacher alipomaliza kukaribisha rafiki zake msosi nilimuuliza kama wageni waliokuja walitoa taarifa kabla ya kuja, teacher akasema hamna c wamekuja kunsalimia tu, na blah blah nyingine, mm nikawauliza wageni wale kama walitoa taarifa kabla ya kuja nao walisema oh unajua, oh.., mm nkamwambia teacher live mbele ya wageni kuwa share ya msosi iliyopo ni ya watu 2, na nliwaambia wageni kuwa kwa vile mmekuja bila taarifa cha kuwasaidia ni kuwapa maji, msosi uliopo hapa ni wa watu 2, so sitakubali tu-share na nyie huu msosi, bac wale wageni walikaa pale mwishowe wakaondoka, hlf baadae teacher alintupia lawama kuwa I was rude, hiv jamani kuna kosa lolote nlilolifanya?
Naombeni mawazo yenu
Wewe nae ni mchoyo tena mlafi tena una roho yenye kutu.Dada sioni hapo kama kuna uchoyo hivi simu zote zilivyoojaa hawajaweza hata kumpigia mwenyeji wao kama wanakwenda kumuona. Sasa kama wangelikula si jamaa angelala na njaa na kubakia kuwasema. Bora alivyo waabia kuliko kuwasema
Huyu sio mzima kbs tena kuna mchoyo mwenzie anamsapoti,Mkuu hii hta km ni hadithi lkn ukiiweka kwny ukweli aisee inaumiza sana hah!!!kunyima chakula??huo ni uchoyo ucio na mfano dunian!!!afu anawacmanga wgeni mzma kwli hyu!!??
Mimi acha kuwa na roho yenye kutu nataka niwe na mavi haswa lakini kama hujanipa taarifa unakuja hulii kitu. Nishafanya hivyo mara kadhaa na wala sijali.Wewe nae ni mchoyo tena mlafi tena una roho yenye kutu.
Unasapoti huo ujinga kweli? Rizki unatoa wewe?
Tena kwa taarifa yako ukitembelewa na wageni hlf chakula kikawa kidogo mkila kwa pmj utashangaa nyote mnashiba na hata kusaza,
Ndio nyie mkisikia hodi mnaficha chakula uvunguni, looh! hapo tu chakula hata hao wazazi wenu mnawatunza kweli? Au ndio nyie mnaosema ooh tumezaliwa wengi sio mimi tu mpk nimtunze.
Acheni hizo bhana tena mwanaume kua mchoyo wa chakula ni kichefu chefu kisichokua na tiba.
Wewe si tu mchoyo na Kauzu kama dagaa; pia uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana!Mm ni mwanaume, na sio mchoyo kama unavyofikiria ila sometimes inabid tuwekane sawa Tamama Diva Beyonce