Kuhusu ku-certify vyeti

spacing

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
265
108
Mwenye maelezo ya kina anipe kuhusu hili jambo kwenye recruitment portal,pia ukisha certify unaataatach sehemu gani.thanks
 
Ni hivi ; Chukua vyeti vyako toa kopi kisha beba vyeti halisi na kopi zake pembeni uelekee mahakamani.
Hakimu mwenye mamlaka ya kutoa kiapo atavitazama kwa macho, akishajiridhisha atamwagiza karani apige muhuri kwenye nakala/kopi zako na atamaliza kwa kuweka sahihi yake ndipo utarudishiwa vyeti vyako pamoja na nakala zako.
Hatua zitakazofuata kwenye kuomba maombi ya kazi ni hivi; mahali ambapo ungeweka photocopies za vyeti vyako utafanya hivyo ila hapa ndipo utaweka zile kopi zilizothibitishwa na hakimu.
Kama kwa njia ya mtandao vivyohivyo utafanya sawia kwa kuscan kwanza.
Any question?
 
mkuu umesahau na akimu atamwomba elfu 5 au kumi akisema ni ya wino
 
Ukishafungua portal kuna sehemu wameandika other attachments

Hapo hapo
 
thanks

thanks,hivi kwenye other attachment na hapo nitaviupload maana cheti cha kuzaliwa kinakaa pale
 
Ukishafungua portal kuna sehemu wameandika other attachments

Hapo hapo
mkuu mbona unanichanganya maana mdau wa kwanza kasema unacertify uanza kujaza upya profile,kwenye other attachment si kinakaa cheti cha kuzaliwa na passport,au syo mkuu?
 
Kwenye other attachments vinakaa vyeti vya O level na A level,Cheti cha kuzaliwa,CV na transcript

Picha ina sehemu yake ya kukaa

Vyeti vyote hivyo lazima viwe certified
 
kama vyeti havijatoka unaweza tumia transcript kuomba kazi
 
Ni hivi ; Chukua vyeti vyako toa kopi kisha beba vyeti halisi na kopi zake pembeni uelekee mahakamani.
Hakimu mwenye mamlaka ya kutoa kiapo atavitazama kwa macho, akishajiridhisha atamwagiza karani apige muhuri kwenye nakala/kopi zako na atamaliza kwa kuweka sahihi yake ndipo utarudishiwa vyeti vyako pamoja na nakala zako.
Hatua zitakazofuata kwenye kuomba maombi ya kazi ni hivi; mahali ambapo ungeweka photocopies za vyeti vyako utafanya hivyo ila hapa ndipo utaweka zile kopi zilizothibitishwa na hakimu.
Kama kwa njia ya mtandao vivyohivyo utafanya sawia kwa kuscan kwanza.
Any question?
hapana mkuu umekosea kidogo kwa sasa mahakamani hawakubali kama ulivyosema bali ni ivi ukija mahakamani unamwona RO yaani karani mkuu ataangalia na kukupa bei ya kulipia atakupa pay slip ya mahakama uende benk kulipia then utarudisha ili upate risiti ya selikali na hakimu hapo atagonga muhuri wa mahakama ila njia rahisi nenda kwa wakili na pesa yakokononi na copy zako kwake original sio lazima saaana ubebe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye other attachments vinakaa vyeti vya O level na A level,Cheti cha kuzaliwa,CV na transcript

Picha ina sehemu yake ya kukaa

Vyeti vyote hivyo lazima viwe certified

Napata ukakasi, nilidhani vyeti vya olevel na alevel vinakaa kwenye academic qualification halafu transcripts ndio inakaa kwenye other attachements
 
mkuu umesahau na akimu atamwomba elfu 5 au kumi akisema ni ya wino
Jaziajazia basi.
Mimi nimewahi kufanyiwa zoezi hili miaka ya nyuma kama mara tatu hivi.
Siku ya kwanza nilipeleka vyeti nikafanyiwa free incharge, siku ya pili nilipeleka vyeti tena nikaombwa buku 2 na karani tena alinifuata huku naondoka nikampa.
Siku ya tatu nilipeleka leseni ya biashara nikaombwa 5 nikawapa.
Sijui siku hizi kama mzee bure yupo hai
 
Napata ukakasi, nilidhani vyeti vya olevel na alevel vinakaa kwenye academic qualification halafu transcripts ndio inakaa kwenye other attachements
Ndo hvyo..we jaribu ikikataa pale utaambiwa hujafanikiwa mengine fanya mwenyew upate majibu ukisikiliza ya watu kila mtu atatoa jibu lake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom