mkuu umesahau na akimu atamwomba elfu 5 au kumi akisema ni ya winoNi hivi ; Chukua vyeti vyako toa kopi kisha beba vyeti halisi na kopi zake pembeni uelekee mahakamani.
Hakimu mwenye mamlaka ya kutoa kiapo atavitazama kwa macho, akishajiridhisha atamwagiza karani apige muhuri kwenye nakala/kopi zako na atamaliza kwa kuweka sahihi yake ndipo utarudishiwa vyeti vyako pamoja na nakala zako.
Hatua zitakazofuata kwenye kuomba maombi ya kazi ni hivi; mahali ambapo ungeweka photocopies za vyeti vyako utafanya hivyo ila hapa ndipo utaweka zile kopi zilizothibitishwa na hakimu.
Kama kwa njia ya mtandao vivyohivyo utafanya sawia kwa kuscan kwanza.
Any question?
Mwenye maelezo ya kina anipe kuhusu hili jambo kwenye recruitment portal,pia ukisha certify unaataatach sehemu gani.thanks
Ni hivi ; Chukua vyeti vyako toa kopi kisha beba vyeti halisi na kopi zake pembeni uelekee mahakamani.
Hakimu mwenye mamlaka ya kutoa kiapo atavitazama kwa macho, akishajiridhisha atamwagiza karani apige muhuri kwenye nakala/kopi zako na atamaliza kwa kuweka sahihi yake ndipo utarudishiwa vyeti vyako pamoja na nakala zako.
Hatua zitakazofuata kwenye kuomba maombi ya kazi ni hivi; mahali ambapo ungeweka photocopies za vyeti vyako utafanya hivyo ila hapa ndipo utaweka zile kopi zilizothibitishwa na hakimu.
Kama kwa njia ya mtandao vivyohivyo utafanya sawia kwa kuscan kwanza.
Any question?
thanks,hivi kwenye other attachment na hapo nitaviupload maana cheti cha kuzaliwa kinakaa pale
mkuu mbona unanichanganya maana mdau wa kwanza kasema unacertify uanza kujaza upya profile,kwenye other attachment si kinakaa cheti cha kuzaliwa na passport,au syo mkuu?Ukishafungua portal kuna sehemu wameandika other attachments
Hapo hapo
mkuu mbona unanichanganya maana mdau wa kwanza kasema unacertify uanza kujaza upya profile,kwenye other attachment si kinakaa cheti cha kuzaliwa na passport,au syo mkuu?
Sio vyeti vyote. Ni vyeti vya sekondari, Chuo na kuzaliwa tuuKwenye other attachments vinakaa vyeti vya O level na A level,Cheti cha kuzaliwa,CV na transcript
Picha ina sehemu yake ya kukaa
Vyeti vyote hivyo lazima viwe certified
kama vyeti havijatoka unaweza tumia transcript kuomba kaziKwenye other attachments vinakaa vyeti vya O level na A level,Cheti cha kuzaliwa,CV na transcript
Picha ina sehemu yake ya kukaa
Vyeti vyote hivyo lazima viwe certified
Hahahahahah teh teh teh teh we mtu umenichekesha mnooomkuu umesahau na akimu atamwomba elfu 5 au kumi akisema ni ya wino
Acha kupanic umesema vyeti vyote inabid viwe certified. Means kama mtu ana cheti cha seminar my be au short course akasertify kiti ambacho si kweli. Ndoo maana nimesema si vyeti vyote ila vya Secondary, chuo na kuzaliwaNazungumzia vyeti
Kama CV na yenyewe ni cheti basi akacertify
hapana mkuu umekosea kidogo kwa sasa mahakamani hawakubali kama ulivyosema bali ni ivi ukija mahakamani unamwona RO yaani karani mkuu ataangalia na kukupa bei ya kulipia atakupa pay slip ya mahakama uende benk kulipia then utarudisha ili upate risiti ya selikali na hakimu hapo atagonga muhuri wa mahakama ila njia rahisi nenda kwa wakili na pesa yakokononi na copy zako kwake original sio lazima saaana ubebeNi hivi ; Chukua vyeti vyako toa kopi kisha beba vyeti halisi na kopi zake pembeni uelekee mahakamani.
Hakimu mwenye mamlaka ya kutoa kiapo atavitazama kwa macho, akishajiridhisha atamwagiza karani apige muhuri kwenye nakala/kopi zako na atamaliza kwa kuweka sahihi yake ndipo utarudishiwa vyeti vyako pamoja na nakala zako.
Hatua zitakazofuata kwenye kuomba maombi ya kazi ni hivi; mahali ambapo ungeweka photocopies za vyeti vyako utafanya hivyo ila hapa ndipo utaweka zile kopi zilizothibitishwa na hakimu.
Kama kwa njia ya mtandao vivyohivyo utafanya sawia kwa kuscan kwanza.
Any question?
Ndio unaweza kwingine isipokuwa secretariet ya ajira...tena usithubutu kabisakama vyeti havijatoka unaweza tumia transcript kuomba kazi
mkuu umesahau na akimu atamwomba elfu 5 au kumi akisema ni ya wino
duh!!!sio kwa onyo hiloNdio unaweza kwingine isipokuwa secretariet ya ajira...tena usithubutu kabisa
Kwenye other attachments vinakaa vyeti vya O level na A level,Cheti cha kuzaliwa,CV na transcript
Picha ina sehemu yake ya kukaa
Vyeti vyote hivyo lazima viwe certified
nasema kwenye hizi ajira za watendaji wa vijijiNdio unaweza kwingine isipokuwa secretariet ya ajira...tena usithubutu kabisa
Jaziajazia basi.mkuu umesahau na akimu atamwomba elfu 5 au kumi akisema ni ya wino
Ndo hvyo..we jaribu ikikataa pale utaambiwa hujafanikiwa mengine fanya mwenyew upate majibu ukisikiliza ya watu kila mtu atatoa jibu lakeNapata ukakasi, nilidhani vyeti vya olevel na alevel vinakaa kwenye academic qualification halafu transcripts ndio inakaa kwenye other attachements