Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

muta ngegi

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
191
Reaction score
161
Salaam Wanajamiiforum!
Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini.

Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na utaratibu wa kuomba kazi za vibarua shambani upoje ili niweze kumpa majibu sahihi.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna New project nadhani Mkulazi, jirani hapo Wami Dakawa.
Usiende huko mbali shuka hapo ni jirani na Moro town. Ukikosa msimu wa miwa panalima Mpunga utafanya kwenye project za Mipunga
 
Asante sana hagau!
Hizo za wami Dakawa zinaanza lini yeye ni kibarua sio wale wa ofisini
 
Mimi nilikuwa pale mtibwa sugar kuhusu Msimu wa uzalishaji kuanza huwa unaanza mwezi wa tano baada ya mvua za masika kuisha na kuhusu Kazi za shamba ambazo Unaweza kupata hata sasa hivi ukienda Ni ya kukata miwa sasa hivi huwa wanalipa around kama 10,000 Kwa siku ila uwe ngangari kidogo màana kukata miwa sio mchezo
 
Asante sana kwa mrejesho Kiongozi
 
Back
Top Bottom