Kuhusu kipindi kipya cha Zinduna Hard Talk!

pamoja na kujidai kote huko, kumbe modem na kilaptop cha kuzugia huna......???!!!!!

Zinduna mimi naomba show iwe IJUMAA ASUBUHI ili watu wapate mda wa kushiriki kwa nafasi, coz WATU WENGI TUNATEGEMEA COMPYUTA ZA MACHOGO OFISINI NA INTERNENT YA BUREEE!!!!!!! KWENYE SIMU MTU INABIDI UANDIKE KIFUPI AU USOME TU!!!!!!!! Ni pendekezo langu hilo ili watu wengi washiriki kwa raha!
 
Shosti SIKUJUA KAMA THE HARD TALK NI IJAMAAA DEAR!!!!!!!!!!! Basi jmosi ni poa !!!!!!!!!!! SI UNAJUA TENA SIMU YA MCHINA HIII!!!!!!!! ITABIDI NIKABE I PAD YA MCHAGA JMOSI!!!!!! LOL! BORA HARD TALKUMEIFANYA IJUMAA, ITABAMBA ZAIDI!!!!!!!!! ILA USIACHE KUPREMIER GUEST ATAKUWA NANI ILI TUMNGOJE KWA HAMU!!!!!!!! Nampendekeza moja wapo wa hawa!!!!!! Max, Dark City(babu DC), Kongosho, Asprin, kingasti, Kaizer Madame B, Bishanga, Father of All,

Umepatia sana kwani akilini mwangu nilikuwa namuwaza sana Madame B, Asprin na King'asti
 
Last edited by a moderator:
pamoja na kujidai kote huko, kumbe modem na kilaptop cha kuzugia huna......???!!!!!

U WISH NINGEKUWA SINA!!!!!!!!!!!! Hapo nimewafariji tu wasiokuwa nazo!!!!!!!!!! MIMI NAUZA/KUSUPPLY I PAD 3 SEMBUSE KUMILIKI!!!!!!!!!!!!! HIZI LEVO ZINGINE WEWE!!!!! USINIPIMIE!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unapoteza muda wako kumjibu huyo stineriga
 
Last edited by a moderator:
Zinduna nakusalimu.

Tunaruhusiwa kutangaza biashara zetu kwenye hiki kipindi? Gharama zake zikoje?

Mi naomba kuwa mdhamini wa kipindi.

Ni mapema mno ODM Mzee Asprin, subiri ninafanya michongo na MODS, ili kuweka mazingira mazuri ya kipindi
 
Last edited by a moderator:
Good idea. Ila kuhusu ubusy, nadhani kungekuwa na specific time. Labda mtu anahojiwa for one hour tu. That way hata tulio busy unajua saa tatu hadi nne asubuhi unakaa kitako. (mie ni konda treni ya mwakyembe, siwezi kukaa kujibu kutwa nzima).

Another idea, maswali mengine magumu sana. Paw akiona majibu hapa tutaharibu vijiwe vya mjini. Na boss wangu yumo humu, kuna swali nikijibu tu atanistukia. So kuwe na option ya truth or dare. Kama swali halijibiki, basi mtu apewe alternative of a funny question. Itasaidia watu wasi-act up ama kudanganya (every closet has skeletons. Kama sio za mjusi kuna kidole cha mende ama nyoya la panya).

Nimalizie kwa kujifanyia booking ya kuhojiwa in dec 2013.
 
Biashara ya kukagua wajukuu haikubaliki, sawa na zile za promo za fegi.

Nakutahadharisha tu nikiwa mrs mod
Zinduna nakusalimu.

Tunaruhusiwa kutangaza biashara zetu kwenye hiki kipindi? Gharama zake zikoje?

Mi naomba kuwa mdhamini wa kipindi.
 
Good idea. Ila kuhusu ubusy, nadhani kungekuwa na specific time. Labda mtu anahojiwa for one hour tu. That way hata tulio busy unajua saa tatu hadi nne asubuhi unakaa kitako. (mie ni konda treni ya mwakyembe, siwezi kukaa kujibu kutwa nzima).

Another idea, maswali mengine magumu sana. Paw akiona majibu hapa tutaharibu vijiwe vya mjini. Na boss wangu yumo humu, kuna swali nikijibu tu atanistukia. So kuwe na option ya truth or dare. Kama swali halijibiki, basi mtu apewe alternative of a funny question. Itasaidia watu wasi-act up ama kudanganya (every closet has skeletons. Kama sio za mjusi kuna kidole cha mende ama nyoya la panya).

Nimalizie kwa kujifanyia booking ya kuhojiwa in dec 2013.

Hapo umenena King'asti.

Itabidi mshiriki akikubali kushiriki linawekwa tangazo kwamba kipindi hicho kitafanyika Ijumaa saa ngapi na kitaisha saa ngapi.
Kwa upande wa maswali ninaweza kujadili na mmshiriki kwa PM ili kujua nisawiri maeneo gani. itasaidia sana kuweka mambo sawa.

Bado nahitaji maoni zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ikifika mambo ya ndoa, FP, Vidumu mwalike Lara 1, walotendwa mwite Wiyelele, Wazugaji mwite TANMO, Wachunaji Natalia
 
Nitakuwa natangaza jina la mshiriki mapema ili wadau watume maswali yao kwa njia ya PM, hapo mndipo tutakapochambua mimi na timu yangu kujua ni maswali gani yaelekezwe kwa mhusika. Pia inawezekana siku moja kabla mhusika akatumiwa maswali kwa njia ya PM iwapo itakubalika na timu ya Hard Talk ili kujipa fursa ya kutafakari majibu aepuke kujiuma uma, lakini sina uhakika kama njia hii itakubalika au la.

Tunachotaka ni kupata mpangilio mzuri utakaoleta mvuto ili wasomaji wasiboreke

Maoni zaidi tafadhali
 
:glasses-nerdy:nilijua hukuwa na zaidi cha kuandika, zaidi ya kusema unamiliki aipadi...
haya hongera bi nyakomba kama kweli unamiliki aipadi....!!! :madgrin:

U WISH NINGEKUWA SINA!!!!!!!!!!!! Hapo nimewafariji tu wasiokuwa nazo!!!!!!!!!! MIMI NAUZA/KUSUPPLY I PAD 3 SEMBUSE KUMILIKI!!!!!!!!!!!!! HIZI LEVO ZINGINE WEWE!!!!! USINIPIMIE!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Zinduna...am in! the problem with Friday am always so tied up...could we have the interview air like jioni after work and run through th night?
That way i can request to be on the interview list even this coming Friday!!!

Got some reality i need to shed off my heart...
 
Last edited by a moderator:
mi nna wazo bibie Zinduna, kwanini usimpe mtu mwingine afanye iyo hard talk halafu wewe behind the scene, uwe kama director, itakuwa show yako ila ahost mtu mwingine, hii itasaidia watu wasiconfuse na ile show yetu ingine, halafu kama haitawezekana basi usitumie jina la "zinduna hard talk" itakuwa monotonous, watu watachukulia simple kichit chat kama ile show ingine ni hayo tu kwa sasa... NB: usinisahau kwenye show mpya maana hivi majuzi tu ndo nimehitimu shahada ya pili ya production ya vipindi vya mtandaoni
 
Hilo nimeshalizungumzia, Show itakuwa ni Ijumaa lakini muda utategemea na mshiriki.
Kwa kawaida nikiweka tangazo la mshiriki ni lazima niweke na muda baada ya kujadiliana na mshiriki kuhusu nafasi yake kwa siku hiyo

Karibu sana Mentor
 
Last edited by a moderator:
mi nna wazo bibie Zinduna, kwanini usimpe mtu mwingine afanye iyo hard talk halafu wewe behind the scene, uwe kama director, itakuwa show yako ila ahost mtu mwingine, hii itasaidia watu wasiconfuse na ile show yetu ingine, halafu kama haitawezekana basi usitumie jina la "zinduna hard talk" itakuwa monotonous, watu watachukulia simple kichit chat kama ile show ingine ni hayo tu kwa sasa... NB: usinisahau kwenye show mpya maana hivi majuzi tu ndo nimehitimu shahada ya pili ya production ya vipindi vya mtandaoni

Ahsane kwa wazo zuri na nitalifanyia kazi.

Kuhusu ile show ya Kila Jumamosi ninajaribu kum-Coach lara 1, na iwapo atakubali atasimama kama host kwa kupokezana na mdau yeyote atakayekuwa tayari kujiunga.
Nadhani Smile anaweza pia kusaidia, bado sjawasiliana naye kwa sababau amefiwa na mama yake, lakini ni mtu ninayemuona kama anamudu kuvaa viatu vyangu.

Hii ya Hard Talk nitarekebisha title kama ulivyoshauri, lakini pia bado nasubiri maoni ya wadau wengine
 
Last edited by a moderator:
Kipindi hiki kitakuwa kizuri sana na kitavutia!
*kwanza kifanye kitofautiane kabisa na zinduna talk show.

*Mi napendekeza hiki kipindi kiendeshwe kwa kutumia mada fulan na maswali yatatoka kwenye hiyo mada na hii itasaidia tuwe tuna jadili vitu tofauti au mada tofauti kila juma.

*Pia mtindo wa kuuliza maswali uwe tofauti ,yani yale maswali ambayo yanaendana na Mada husika ndio yaruhusiwe.

*Me napendekeza hata jina la hii show liwe tofauti na hile ya j. Mosi chagua jina likuhusu mahusiano maana najua hichi kipindi kita base kwenye Mapenzi zaidi.

*Napendekeza pia wewe uwe mkuu wa hiki kipindi lakini host awe mtu mwingine ili kuongeza utamu zaidi na ufundi zaidi(muwe wawili)
*Ili kuongeza utamu wa hiki kipindi napendekeza uanze kuwaalika na kuwasiliana na Member maarufu wa majukwaa mengine pengine ambao hawaji huku MMU na kuwaalika na kufanya mahojiano nao, na hawa unaweza kuwapata kwa kuwasiliana nao kwanjia ya Pm ili kuangalia uwezekano.

Ntafurahi kuona kipindi kina bamba zaidi na kupendeza!
big up!
 
Wazo limepokelewa na bado nasubiei maoni mengine zaidi.
 
Shosti SIKUJUA KAMA THE HARD TALK NI IJAMAAA DEAR!!!!!!!!!!! Basi jmosi ni poa !!!!!!!!!!! SI UNAJUA TENA SIMU YA MCHINA HIII!!!!!!!! ITABIDI NIKABE I PAD YA MCHAGA JMOSI!!!!!! LOL! BORA HARD TALKUMEIFANYA IJUMAA, ITABAMBA ZAIDI!!!!!!!!! ILA USIACHE KUPREMIER GUEST ATAKUWA NANI ILI TUMNGOJE KWA HAMU!!!!!!!! Nampendekeza moja wapo wa hawa!!!!!! Max, Dark City(babu DC), Kongosho, Asprin, kingasti, Kaizer Madame B, Bishanga, Father of All,

Binti taratibu, ngoja kwanza. Mie nimeomba booking 2013 manake najua.nitakuwa born again then. Na dhambi.nilizotubu hazitajadiliwa.
Malizaneni na hao wajuba kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom