Maswali yatakuwa ni pasua kichwa, hivyo ni vyema mtu akajua namna ya kujibu bila ku expose ID yake.
kwa mfano mtu anaweza kusema kwamba yeye aliwahi kuoa au kuolewa lakini akaacha au kuachika, hapo ni lazima tuingie ndani zaidi ili kujua sababu, na kama ni kuhusu uhusiano uliowahi kuvunjika, I meen hakukuwa na ndoa pia ni lazima tuchimbe ndani ili kujua sababu, na maswali yatatiririka kulingana na majibu ya mshiriki
Kuna ishu ya kutendwa, naamini kuna wadau wengi humu wameshatendwa, hapo napo, lazima kuwe na maswali pasua kichwa........
Pia kuna swala la kuombwa 0713 kwa wanawake au wanaume kula tigo, lazima hapo nitiririke na maswali.
Eneo lingine ni kuhusiana na nyumba ndogo kwa wanaume au vidumu kwa wanawake swala hilo lazima lijadiliwe, lakini pia kuna ishu nyingine ya ma house girl kwa upande wa wanaume na kwa wanawake kuna swala la kunyimana unyumba kutokana na kutofautiana na wenzi wao, hilo nalo hutokea sana kwa wanandoa au kwa wapenzi.
vipi kuhusu mawasiliano ndani ya ndoa na kusaidiana kazi kwa wanandoa au wapenzi, hilo nalo ni eneo ambalo nitasawiri kwa undani zaidi.
mtindo wa maswali utakuwa ni wa ubunifu zaidi ili kuepuka mtu kukwepa kujibu maswali.
Kongosho! Mhadhiri amevujisha module atakazotolea mtihani. Je una hela ya kutoa nakala za madesa yote?. Kazi ni kwako!