PARRIE KIJIKO
Senior Member
- Jul 22, 2012
- 110
- 13
Chinua Anchebe v/s Ngungi wa thiongo
ni matumaini wengi wetu tumewahi kukutana na haya majina kwenye makava ya vitabu darasani au hata nyumbani
Chinua Anchebe anasifika kwa kazi kama "A man of the people","no longer at ease","things fall apart" et
ngungi yeye ni "the black hermit","weep not,child" ,"grain of wheat" etc
wote wawili wameandika kazi za aina tofauti tofati(riwaya,tamthiliya.ushairi na hadithi fupi)
on the stand of novels(riwaya) who do you think was/is the best kwenye ubora wa kazi,utunzi mzuri na uelimishaji?
Ngungi wa thiong'o(kenya) v/s chinua anchebe(nigeria)
chinua ndo mwenyewe unaijua 'the concubine'?acha kabisa!
ah ni noma i see,the great ponds nayo ni balaa!ngugi ni mzuri lakini theme zake zinafanana sana!the concubine sijafanikiwa kuisoma,but nitakitafuta!.even ngungi ni hatari hahahaha
Wote Wakali ila sema nini,ukweli utabaki palepale! weeeeee! achebe aaaa! Noma.kumbuka,akina Max,odili Samalu,edna,chief Nanga,koko,nk(a Man Of The Pple,??? ??. I Like It.LAKN HATA HVO UMEFANYA MAKOSA MR KIJIKO HAIWEZEKANI KUMSHINDANISHA A PLAY WRIGHT NA NOVELIST.NI SAWA NA KUWASHNDANISHA, MICHAEL JACKSON NA R KELLY.
ah ni noma i see,the great ponds nayo ni balaa!ngugi ni mzuri lakini theme zake zinafanana sana!
umenikumbusha copies zangu!Napataje hivi vitabu?
The Concubine na The Great Ponds; vyote ni vya Elechi Amadi.
umenikumbusha copies zangu!
Sijui nilimuazimisha nani!
Nilikuwa nazo zote!
Concubine was the best among the two!
kuna group la kusoma vitabu nitaulizia , kisha nitakwambia kama kinapatikana!Yes, kiko vizuri sana.
Nahisi nitalazimika kutafuta hardcopy, maana soft copy ni ngumu kuipata.
kuna group la kusoma vitabu nitaulizia , kisha nitakwambia kama kinapatikana!
kuna group la kusoma vitabu nitaulizia , kisha nitakwambia kama kinapatikana!
The concubine ni kazi ya Alachi Amadichinua ndo mwenyewe unaijua 'the concubine'?acha kabisa!