Kuhusu English Test ili uweze kupata scholarship

Yah hiyo mitihani ni muhimu lakini sio sana kikubwa unapojaza form yako ya scholarship sehemu ya Language pale kwenye Mother Tongue ukiandika English hawatohitaji hizo attachement za vyeti vya English (IELTS,TOEFL) by the way hizo course ni za kisanii tu mnafundishwa english ya primary na o-level then ndo unapewa cheti
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi

0718632536
 
..duh! kipindi nikiwa chuo huo mtihani ulikuwa unafanyika kwa kulipia elfu10 tu mwaka 2013 nikapuuzia..
 
Samahani naomba nisaidie namna ya kupata shule na scholarship kwa masomo ya It kwa degree. Naweza lataje kwa nchi za nje hasa china au popote pazuri
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi

0767882585...naomba niunge kwa hilo group
 
Hiyo nchi si lazima uwe na hiyo kitu, mimi nimesoma Sweden na wala hawakuhitahi hiyo. Nadhani hiyo ni kama unataka kwenda UK na USA. Waweza nicheki pm nikushauri zaidi
Asante neno1 sasa nitakupataje coz nimeweka no zangu hapa tunaweza wasiliana Mr.
 
Kuna vyuo vingine English kama ilikuwa ni medium of instruction chuoni kwako hawahitaji hiyo ishu ya English test. Pia kuna vyuo UK kama secondary somo la English ulipata C na kuendelea English test inakuwa exempted kwako. Wengine huwa wanahitaji evidence kutoka chuo kama English ni medium of instruction.

Lakini na sisi tumezidi uvivu wa kujitafutia vitu. Hivi hii mitandao mnaitumia kaingia social network na JF kuuliza maswali tu? Mbona kila kitu kipo online? Tujitahidi kuangalia na vitu vyenye maendeleo kwetu. Madhalani hizo scholarship uki Google scholarship position au advanced Africa unajiregister kila wiki wanakutumia email yenye list ya scholarship za kumwaga. Unachofanya ni kupitia moja baada ya nyingine kuangalia criteria. Ukiona inayokufaa unaapply. Tatizo tunapenda kutafuniwa kila kitu badala ya kujishughulisha.

Binafsi kabla sijauliza kitu huwa na Google kwanza kuona kama nitapata msaada huko. Kwa mfano mleta mada angeweza ku Google English test Tanzania angepata details zote. Tujifunze kujitafutia na kuwa wabunifu.

Asante
 
Gharama hiyo ni kubwa sana kuna njia rahisi
UDSM MTIHANI KM HUO NI 50000 ALUMN
10000 STUDENTS
40000. STAFF
OTHERS HAIZIDI 100,000 LAKI NA CHETI CHAKE KIKO RECOGNISED WORLD WIDE.

Pia unaweza kwenda chuo ulichisoma wakakupa recognition letter kuwa your teaching lg was english
Vyuo vingine vina special specifications
 
Huu WA udsm hautambuliki huko anakotaka muuliza swali. Wana aina ya vyeti vinavyotambulika kama hiyo TOEFL au IELTS maana hizi ni World wide na ndio zinakubalika sana
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi
Mambo vp mkuu, naomba uniunge kwa group la scholarship 0767328063
 
Kuna vyuo vingine English kama ilikuwa ni medium of instruction chuoni kwako hawahitaji hiyo ishu ya English test. Pia kuna vyuo UK kama secondary somo la English ulipata C na kuendelea English test inakuwa exempted kwako. Wengine huwa wanahitaji evidence kutoka chuo kama English ni medium of instruction.

Lakini na sisi tumezidi uvivu wa kujitafutia vitu. Hivi hii mitandao mnaitumia kaingia social network na JF kuuliza maswali tu? Mbona kila kitu kipo online? Tujitahidi kuangalia na vitu vyenye maendeleo kwetu. Madhalani hizo scholarship uki Google scholarship position au advanced Africa unajiregister kila wiki wanakutumia email yenye list ya scholarship za kumwaga. Unachofanya ni kupitia moja baada ya nyingine kuangalia criteria. Ukiona inayokufaa unaapply. Tatizo tunapenda kutafuniwa kila kitu badala ya kujishughulisha.

Binafsi kabla sijauliza kitu huwa na Google kwanza kuona kama nitapata msaada huko. Kwa mfano mleta mada angeweza ku Google English test Tanzania angepata details zote. Tujifunze kujitafutia na kuwa wabunifu.

Asante
Spoon feed+Big result now=V.ilaza
 
Mkuu niunganishe kwenye hilo group

Mwaka kesho nina mpango wa kutafuta scholarship ya MPH

0689985724
 
Hiyo mitihani inafanyika kila mwezi hivyo ukilipa unatakiwa uchague utafanya lini huo mtihani pia nivizuri ukajiandaa pia ukiona vyema weka namba yako nikuunganishe kwenye group la Scholarship huko utapata detail nyingi zaidi

0777451980, 0629998257
 
Hi guys! Mimi ninekuwa nikitamani siku nyingi sana kusoma nje ya nchi Masters degree ila kuna suala linanitatiza sana kuhusu IELTS (International English Language Testing System) sijajua naweza wapi kufanya hii test ili niweze timiza ndoto zangu. Mimi Niko Arusha kwa mtu yeyote anayeweza nisaidia kwa information please do it right here. Najua wengi wanapenda kufahamu kuhusu hili pia.
Sincerely
Godbless.

British Council dar es salaam kaka, samora road jiandae na mambo muhimu 4.
1. Writing
2. Reading
3. Listening
4. Speaking

Ni tough sana kiasi inabidi uwe pale wiki mbili kabla kwaajili ya kujiandaa na huo mtihani.
 
Back
Top Bottom