Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi yalisiyothibitika hapo nyuma kuhusu watu kukutana na vyombo au viumbe kutoka sayari nyingine.

Kwa sasa msimamo wa watu wa sayansi waeleza ili viumbe kutoka sayari nyingine waweze kututembelea basi yabidi kuwa na technologia itakayo wakinga na kani ya gravity na mda. hii technologia itawafanya kufanya vitu vitakavyoonekana kama miujiza.

Hali imebadilika mambo yaliyoonekana kama ya kutungwa na kwajili ya kujifurahisha kuhusu UFO sasa sio tena hii ni baada ya serikali ya marekani kuja hadharani na kukiri kuwepo kwa program zinatambua uwepo wa UFO. kutoka CNN na pia kutoka the gurdian.

Sina mengi sana ila tuwe alert muda wote kuaangalia angani ili kushuhudia hivyo viumbe.
Muulize mmalekani anayo siri kubwa kuusu hivyo viumbe na pia ndo huwa anasaidiwa kwa project nyingi tu.
 
Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui
Hatuhu ni via vibwengo vyena mazutwi makuu ndivyo tikiviiva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom