Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

Kuhusu dunia kutembelewa na Alien

Ni kweli unachosema.

Kuna uwezekano walificha ili kulinda umma mpaka watakapomaliza kukamua juice ya kutosha au kuwalinda from shock ya frequency na vibration.....lakini pia kila jambo lina wakati wake,na lisemwalo lipo.

Last,inatufundisha kutowaamini amini hawa jamaa,pia kuwa curious.coz watu wako ivo wakipata kitu kitakachowawezesha kutawala wengine hata ingekuwa sisi tingeficha ili tuwe in control.
Why 😭😭😭😂😭 Zotee ni conspiracy theory tuuu
 
Nionavyo hapo viumbe ambao unadhani wanatua duniani hapa kwa kutegemea ma pyramids kama geopointers wapo advanced civilization level 1 unadhani kwa level yao ya teknologia watahitajia majengo yaliyotengenezwa maelfu ya miaka nyuma kama muongozo wao hapa duniani?
Yes! wana/wata hitaji mno siyo leo tu hata miaka 200 ijayo! ndo maana ya mapyramids ni ya miaka mingi sana ilopita na yataishi zaidi! tofali moja ni la pyramid ni takriban tani kumi!...kumbuka tu kwamaba hata humu nchini wajermani wana alama zao!

kila penye manufaa ya madini humo Bongo land wajermn wana directing points ambazo wanarithi hati miliki wajukuu zao tu!! usione watalii wanakuja unaona wanakuja kuangalia wanyama tu noo!! wanakuja check hizo Beacons zao!
Ungesoma jinsi civilization levels zilivyoelezewa na mwana anga "nikolai kardashev" utagundua sisi hapa duniani ni type zero civilization na tupo level 0.72 kwenye kardashev scale (hii ni kutona na kwamba aligawa civilization kulingana na kiwango cha nguvu(energy) inayozalishwa na ubora wake kitu ambacho ni sahihi kabisa kutokana na kwamba race yoyote ili iweze ku develop inahitajia nguvu(energy) iliyo bora na potent pia ili kuweza kufanya mabadiliko makubwa ya kisayansi na teknolojia ) na hii ni kutokana kwamba bado tunatumia natural resources kama miti, petrol, jua , gas n.k kujizalishia nguvu (energy) ambayo inatumika kwenye mahitajio yetu ya kila siku na itatuchukua miaka 200 mbele ili kutoka level 0.72 hadi level 1 .
Hayo ni yako na huyo mwana anga wako!.. alisema sisi hapa Duniani ni type zero civillization kulinganisha na kina nani??...nguvu iliyo bora kwa level ipi? wapi? na lini?...mabadiriko makubwa ya kisayansi yapi kuliko haya tuliyo nayo leo?...

hizo levels zake wala hazieleweki labda ulitengeneze kivingine, sasa na wewe mkuu kwa nini ulisoma tu ukalibeba ivoivo??
Level 1 civilization ndiyo hujulikana kama planetary civilization civilization hii badala ya kutegemea resources za ndani hapa ambazo zinatoa energy kidogo wao watatumia technology ya nuclear FUSION (sio fission ambayo inatumika na baadhi ya nchi inatoa energy kidogo na wastes nyingi zinazotumia miaka mingi kuondoka).
Mfano wa nuclear fusion ni jinsi jua letu linavyowaka kwa mabilioni ya miaka sasa kutokana na ku unganisha hydrogen nne kupata helium mbili na kutoa energy safi kabisa na hii itatuchukua miaka 3000 kutoka early type 1 civilization na kufikia advanced type 1 civilization kumbuka kwenye hii civilization binadamu tutakuwa hatuna magonjwa, njaa, vita na hitilafu nyenginezo za kimazingira tutakuwa tupo more advanced kana kwamba tutaweza kufikia sayari yoyote ile kwenye solar system yetu na nje ya hapo bila shida yoyote sitazielezea civilizations zote ila point yangu ni hii.
Hakuna level of civillisation ambayo mwanadamu wa leo amesha ifikia kiwango cha maendeleo km ile ya kiwango cha Atlamantiondidas lakini ni Bara pekee Duniani ambalo lili-sink down, over dissappearance level , at one Night!! ..

Zamani sana tulipo kuwa tunasema kuwa ''humu Duniani hakuna jipya! haya yooote unayo yaona yalikuwepo kabla!'' Tulikuwa hatutanii Mkuu!..endelea kusoma utakutana na statement hii!...tena huenda unayo kwenye shelf la vitabu vyako ila hujui!

wanacho kifanya leo hao watalaamu wako ni kukopy na ku paste tu!! halafu wanajifanya wagunduzi!! na haya wanayagundua Via excavations na huko site kamwe hawataki Mweusi yeyote aguse kwa nini??

na ikitokea mweusi yuko huko basi ni kutumwa tumwa tu! hayo yako sijui ya type 1 civl... Baba umepigwa Akili zakuambiwa bila kuchanganya zako ndo matokeo yake haya any way pole ......Mfano..

Excavations sites zote za Egypt hakuna Muarabu, Muhindi wala Mswahili hata mmoja japo zipo Africa! Na ni UN heritage sites! haziguswi!...kwa nini?
 
Why 😭😭😭😂😭 Zotee ni conspiracy theory tuuu
Ok.
Kuna uzi upo humu kwenye jukwaa la intelligence,kama hautojali utafute, nafikiri utakutana na watu wa kuwapa hiyo statement. In short kuna link za cnn na the guardian ambazo wamepublish kuwa pentagon imeconfirm uwepo wao(aliens).

Ukumbuke: pentagon au jeshi lao,walikuwa wanakana huko nyuma kuwa hamna aliens.

Wala tusiumie makoo sana,tujadili tu kadiri tunavojua.kama wapo ipo siku watajitokeza na madukuduku yataisha.kama hawapo basi itakuwa aibu yetu tuliyojiaminisha kuwa wapo(kukubali kushindwa ni part of the game).
 
Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi yalisiyothibitika hapo nyuma kuhusu watu kukutana na vyombo au viumbe kutoka sayari nyingine.

Kwa sasa msimamo wa watu wa sayansi waeleza ili viumbe kutoka sayari nyingine waweze kututembelea basi yabidi kuwa na technologia itakayo wakinga na kani ya gravity na mda. hii technologia itawafanya kufanya vitu vitakavyoonekana kama miujiza.

Hali imebadilika mambo yaliyoonekana kama ya kutungwa na kwajili ya kujifurahisha kuhusu UFO sasa sio tena hii ni baada ya serikali ya marekani kuja hadharani na kukiri kuwepo kwa program zinatambua uwepo wa UFO. kutoka CNN na pia kutoka the gurdian.

Sina mengi sana ila tuwe alert muda wote kuaangalia angani ili kushuhudia hivyo viumbe.
....Hakuna Kitu Kama Allien ama UFO. Toka vianze kuzungumzwa hakuna Hata Picha Moja imepata kupigwa mahali kutuaminisha kwamba Alliens kwamba wapo! Kila siku yapo Maelezo ya kuonekana Vyombo vyako vikitimka mbio!
Kama in kuja kutuchunguza TU, kama inavyosemekana, Mpaka Leo wanatuchunguza TU na Bado hawajapata Ushahidi kuwa sisi binadamu hatuwezi kusimama nao Kwa vile Wao wako mbele Sana zaidi ya sisi?
 
Yes! wana/wata hitaji mno siyo leo tu hata miaka 200 ijayo! ndo maana ya mapyramids ni ya miaka mingi sana ilopita na yataishi zaidi! tofali moja ni la pyramid ni takriban tani kumi!...kumbuka tu kwamaba hata humu nchini wajermani wana alama zao!

kila penye manufaa ya madini humo Bongo land wajermn wana directing points ambazo wanarithi hati miliki wajukuu zao tu!! usione watalii wanakuja unaona wanakuja kuangalia wanyama tu noo!! wanakuja check hizo Beacons zao!

Hayo ni yako na huyo mwana anga wako!.. alisema sisi hapa Duniani ni type zero civillization kulinganisha na kina nani??...nguvu iliyo bora kwa level ipi? wapi? na lini?...mabadiriko makubwa ya kisayansi yapi kuliko haya tuliyo nayo leo?...

hizo levels zake wala hazieleweki labda ulitengeneze kivingine, sasa na wewe mkuu kwa nini ulisoma tu ukalibeba ivoivo??

Hakuna level of civillisation ambayo mwanadamu wa leo amesha ifikia kiwango cha maendeleo km ile ya kiwango cha Atlamantiondidas lakini ni Bara pekee Duniani ambalo lili-sink down, over dissappearance level , at one Night!! ..

Zamani sana tulipo kuwa tunasema kuwa ''humu Duniani hakuna jipya! haya yooote unayo yaona yalikuwepo kabla!'' Tulikuwa hatutanii Mkuu!..endelea kusoma utakutana na statement hii!...tena huenda unayo kwenye shelf la vitabu vyako ila hujui!

wanacho kifanya leo hao watalaamu wako ni kukopy na ku paste tu!! halafu wanajifanya wagunduzi!! na haya wanayagundua Via excavations na huko site kamwe hawataki Mweusi yeyote aguse kwa nini??

na ikitokea mweusi yuko huko basi ni kutumwa tumwa tu! hayo yako sijui ya type 1 civl... Baba umepigwa Akili zakuambiwa bila kuchanganya zako ndo matokeo yake haya any way pole ......Mfano..

Excavations sites zote za Egypt hakuna Muarabu, Muhindi wala Mswahili hata mmoja japo zipo Africa! Na ni UN heritage sites! haziguswi!...kwa nini?
Atlamantiondidas?? Unamaanisha atlantis? Hizo ni myth tu hakuna proof yoyote mpaka sasa.

Sijajua unachopinga ni nini bado ila nikuulize kama wameweza ku navigate kutoka sayari zao zinazopatikana umbali wa miaka ya nuru(lightyears) mingi sana mpaka kufika duniani unadhani kwanini watahitaji ma pyramid ili kutua? What is special about those constructs to them?
 
Hii ni michezo ya warusi na wa marekani.. Kwanini hao aliens na hizo ufo vitue na kuonekana kwao tu na si sehemu nyingine za dunia? Mfano tuseme alien atue huko Matombo Morogoro ama UFO kitue huko shelui

SA na Zimbabwe kuna hadithi kuhusu hawa viumbe
 
....Hakuna Kitu Kama Allien ama UFO. Toka vianze kuzungumzwa hakuna Hata Picha Moja imepata kupigwa mahali kutuaminisha kwamba Alliens kwamba wapo! Kila siku yapo Maelezo ya kuonekana Vyombo vyako vikitimka mbio!
Kama in kuja kutuchunguza TU, kama inavyosemekana, Mpaka Leo wanatuchunguza TU na Bado hawajapata Ushahidi kuwa sisi binadamu hatuwezi kusimama nao Kwa vile Wao wako mbele Sana zaidi ya sisi?
We can't take pictures of them they are too smart for us
 
Sijajua unachopinga ni nini bado ila nikuulize kama wameweza ku navigate kutoka sayari zao zinazopatikana umbali wa miaka ya nuru(lightyears) mingi sana mpaka kufika duniani unadhani kwanini watahitaji ma pyramid ili kutua? What is special about those constructs to them?
Kimsingi ya binafsi sipingi!!!! ila nakuelimisha!! kama siyo kuelimishana! iwapo unajua weye?? mwagika!......km unaniona mie ni mpingaji hayo ni yako...mie siko huko!...siyo kwamba wameanza kunavigate jana au leo la hasha!

ni miaka mingi mnoo!! walisha fanya kazi hiyo! nika kwambia kinaga ubaga na sehemu waliyotua mara ya kwanza kabisa, na kwa ni ni walitua hapo!...mara hii umesahau??

ukiniuliza ''kwa nini wanahitaji Mapyramids kutua''' nakujibu hivi ni wazi kuwa hujanielewa vizuri!! rudia kusoma staements zangu vizuri! hili nimelielezea hapo juu! Nikatoa na mifano zaidi ya mmoja!
 
We can only see their shadow, see USA navy footage.
🤔🤔 In this era of knowledge ignorance is a choice, unataka kuniambia jinsi teknolojia ilivyokuwa namna hii hasa kwenye mambo ya video editing na green screen kila watakachotoa USA unakiamini? Umesahau kuna kitu kinaitwa propaganda? Wanatoa fake news na footage kila kukicha ili ku catch attention ya mabilion ya watu .

Na bado kirahisi tu unaamna kila footage.
 
Hiyo video ilirekodiwa na fighter jet ipo na USA service men wakiwa mashahidi kwa waliyoyaona. Cjui unaongea vitu gani.
 
Hiyo video ilirekodiwa na fighter jet ipo na USA service men wakiwa mashahidi kwa waliyoyaona. Cjui unaongea vitu gani.
🤔🤔🤔 haujaelewa kipi? Kama umethibitisha mwenyewe kuwa hatuwezi kuwaona unadhani technology wanayotumia ni rahisi kunaswa na mitambo yetu primitive compared to wao? How? Na ninachoongelea ni kuwa usiamini kila footage maana technology ya video editing ni kubwa tu.

Na kingine ni kuwa nasa na america in general wapanda sana propaganda.
 
Ucfanye moyo wako kua mgumu ndugu fungua, that is how u learn n grow. Unadai ni usa pekee, je vip kuhusu China, ushasikia kesi ya Iran how Iranian force mistake UAP for American drones. Embu pitia news za saa iv ambazo vipo updated. Hiz ni baathi ya picha unazolilia.
 
Attachments

  • Screenshot_20220530-053536~2.png
    Screenshot_20220530-053536~2.png
    18.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220530-053132~2.png
    Screenshot_20220530-053132~2.png
    20.4 KB · Views: 28
Vinatua ila sababu sie tunashiba vihepe sana! hata tukiviona tunadhani ni kawingu tu!! au radi make vile vyombo vina kasi sana ya ajabu!!! halafu wana sehemu zao maalum za kutua!! kwa kufuata michoro ya Pyramids!! miongozo yao!

Pyramids/Gujarats! ni kama Beacons zao za kuwaongoza wakiwa humu Duniani wakitokea anga za juu!! humo Africa bongo wanapita sana, na watu wanachukuliwa km Masihara Mfano ni kipunguni hapo mtoto wa rafiki yangu! alipote ghafla mpaka leo!!...

kwani weye Mshana hujawahi kusikia mtu/mtoto kapotea ghafla na hawajawahi patikana mpka leo??...Mzee sungura wa mbwewe mwanae Leah nae alipotea, hakuna fununu kuwa alienda wapi! mpaka sasa...

Basi jua wana chukuliwa na Aliens, ajili ya kuwafanyia majaribio huko makwao!! Nabii Enock alichukuliwa na alliens ila mkajidanganya kuwa ametwaliwa, Musa hana kaburi mpaka leo!! ni kazi ya Alliens!

Serikali ya USA kwa muda mrefu wamekuwa na /wana mikataba ya siri Ya kuhusu anaga za juu na utengenezaji wa siraha na hawa Alliens, ...kuna lile eneo maarufu USA, kule awae yote huruhusiwi kukatiza kabisaa!! ...ukikaidi ni kifo tu kinakuhusu!

Basi jua kabisa humo ndimo Alliens wanatua na kupaa!...ni Km ilivo ndege haiwezi pita/tua popote pale bila Beacons! na wao pia wana maeneo yao ya kutua salama Duniani na kupaa salama km ilivo KM NEVADA in USA!

Kwa upande wa Africa Alliens wanatumia Pyramids za Misri na Sudan KM Beacons zao ili ku locate pa kutua salama humu Duniani, na kufanya yao!....sana sana wao wakitua Africa huwa wanakwenda kufanya yao Mt. Moriah pale ndani ya Israel,

na hapo hapo mlimani ndo kuna ''Intercontinental Radio Link za Duniani na anga za juu za kimungu!'' chunguza uone!! na kule Mtu awaye yeyote yule hakanyagi pale hovyo!! isipokuwa wachache sana ambao ni Maalumu km shadow govermnt atendees!...

Na cha kustajaabisha eneo hili ni la hifadhi za UN. Urithi wa Dunia! kwa nini?? wkt ni ka mlima ka kawaid tu?? hii ndo sababu!...na ukichunguza zaidi ndo hapa hapa ''Ascending Point ya Yesu!''...Sacred spot ya Father Abraham! ni hapa!

Kuna wale malaika walio shushwa na Mungu ''THE WATCHERS;'' ili kumfundisha Mwana damu, matumizi ya vitu mbali mbali humu Duniani, ikiwa ni pamoja na Miti/mimea km dawa basi walishuka na kupaa hapa hapa!!

Wajuvi wa mambo humu Duniani hapa kwao ni Deal na hawataki watu Mjue hili jambo!! isipokuwa sisi wachache tu, niliwahi chapisha lkn ikazimwa na Utawala wa JF, ok! km haitoshi Saddam Hussein mnamjua huyu bana ..

ilikuwa anataka nao hao alliens uribu na alifanikiwa kwa kiasi!! kuwajua na kuwa karibu nao! hawa viumbe wa anga za juu!! lkn cha moto alikiona woote mnajua humu kilicho mpata! ..ile siraha za maangamizi za saddam ilikuwa tu ni kisingizio, ili apigwe,

Sawa ameshapigwa na kufa je walizipata?? ziko wapi?? lkn pia kwa nini wamuue? na wanae wote tena wale wajeda tu!, tena vichwa? kwa kuwa ana/wana kitu kichwani ambacho aweza kitoa kwa watu wengine ikawa shida!....

na ktka uongozi ule wa Saddam, waliojua mipango ya Alliens, ktk nchi ya Iraq,.. wooote hao waliwindwa kuuawa, mmoja baada ya mwingine, na wa mwisho alikuwa Waziri wamambo ya nje wa serikali ya Saddam Hussein Mr ABDLAZIZ!

Huyu bwana aliuawa na CIA akiwa gerezani, kwa kisingizo cha kuwa na kisukari, .... walisema oooh! Sadadm ana siraha za Maangamizi!! kaficha!!..... jamani ziko wapiiii!!??/ akawaambia mie sina!! ''njooni muone basi'' wakaenda kuwona,

Nambie Mshana walizikuta??? hawakuzikuta! sasa kichapo kile cha Mbwa mwizi cha nini? ...na familia yake ikaangamizwa?.....na wkt huko nyuma yule sadam yule!! alikuwa kibaraka wao mkubwa dhidi ya serikali ya Khomein??...

kwenye ule ukibraka Bana!...sadamu hakutoka bure! ndo humo humo kwenye ukibaraka wa USA akapata faida ya kuwajua Alliens! akataka sasa awatumie kwa faid ya Iraq, Maweee!! ufilwe nyambala.....kosa!!

so kosa hili hili!! lilimgharimu Maisha Rais Sadam mwenyewe! na familia yake yotee!!...... mpaka leo U- Loyalities wa hii familia kwishne,... nani anajua walipo??? pia kwa sasa hakuna kiongozi humu Duniani atajipendekeza kuwjua Alliens! na akabaki salama!

Juzi juzi hapa Manowari za kirusi, Ndege za kisasa za ki-china zikiwa na Abiria wa kutosha zilipotea mazingira tatanishi! mpaka sasa napoandika hapa! hazijulikani zilipo! hata fununu tu!.. richa ya kutafuta sana wakihusisha na Corrona Satellight za USA(hizi zinaona hata sindano Ardhini usiku), Russia, China lkn wapi!

Juzi tu hapa kwetu ndani, tena siyo mbali na hapo kwako Msata!! ndege ya TANAPA mpyaa, nzuri ilitengenezwa south! Rubani kijana mzoefu, imepotea Mazimaaa! ikiwa na Rubani na abiria watalii wanne! ilienda wapi?? ni Pwani / Seluu, Rufiji hapo??

ndege ipotee ivi ivi??! chunguza humu utaona! richa ya misaada wa Helkopita za nchi jirani, JWTZ, na polisi kuisaka weeeeee! bila mafanikio...mpaka sasa kijana haonekani! tukaongezea na kuulizia wana vijiji woote wa maeneo husika

km waliona ndege imeanguka au fununuzozote patupu, chunguza radar zetu na nchi jirani olaaa!......mpaka sasa navo andika hapa hakuna kitu! wala fununu!

Jibu ni Alliens abductions, wana husika moja kwa moja, hawa wana ndege zao km visosi! zikipita angani utaona km kidoti tu ivi kwa ile kasi yake!......lkn sikulaumu unawezekana wewe Mshana jr ni mmoja wao hao wa mafao!

kuna watu wanalipwa posho ili kupinga tu, na wasielimishe jamii zetu kuhusu hao Aliens! Hasa USA wanaficha na wamefanya siri miaka mingi sana! ila sababu ya pressure ya wananchi kuvamia maeneo ya Nevada kwa fujo! wamekubali wanaachia kidogo kidogo! hizo siri!

Ndege moja ya Abiria kule USA ilipotea mwaka 1945, ikiwa na abiria wa kutosha tu. lkn ndg hiyo hiyo! ilipatikana mwaka jana imechakaa kweli, kweli! ikiwa na abiria wale walewoote! lkn sasa cha ajabu wakiwa na umri ule ule walio ondoka nao! hawakuchakaa! wala kuzeeka!..watoto walikuwa vile vile! wakubwa pia!

Wataalamu wa NASA wanasema ukiwa anga za juu! trend ya kuzeeka ngozi inapungua sana!...na hawa abiria nao si walikuwa anga za juu hukooo! kwa Alliens! ndo maana hakuzeeka!

Wakati abiria walipotua uwanja wa ndege kwa mshangao wale wenyeji waliwashangaa sana, na wao abiria waka washngaa sana jinsi wanavo washangaa wao!! walipoulizwa mlikuwa wapi miaka yoote hii na ndege imetafutwa mpaka wakakata tamaa,

abiria hao wali wajibu kuwa ''wanaona km wametumia masaa mawili tu! kusafiri angani kufika hapo chikago Air port!!'' japo ndege yao ilikuwa imechakaa mno na iko Old Model!....lkn kitu kikipigwa starter ikooo kinaitika!
Acha nikachukue bagia
 
Ucfanye moyo wako kua mgumu ndugu fungua, that is how u learn n grow. Unadai ni usa pekee, je vip kuhusu China, ushasikia kesi ya Iran how Iranian force mistake UAP for American drones. Embu pitia news za saa iv ambazo vipo updated. Hiz ni baathi ya picha unazolilia.
Hizo ni claims without solid evidence na zitabaki kuwa hivyo maana no one has ever proove otherwise.

Inakuwaje unaamini fake news and pictures without any solid evidence ,umeniambia nifungue moyo ili nielewe?🤔🤔 it seems unataka niamini kile unachokiamini kupitia news and fake claims ?

Bring solid proof uaminike si FULANI WALISEMA HIVI IRAN WALIONA HIVI tena habari zenyewe unaleta zilizohaririwa na hizo hizo toxic sources zinazotumika kutangaza propagnda daily and you call it learning?? Cringeeeee .

Dude hebu leta solid proof hapa na sisi tuone ila bila ya hivyo nitabaki na ninachoona ni sahihi.

Question.
If hao aliens wana high tech unadhani carmouflage kwao ni big issue? .
 
Dunia nzima inapenda ushirikina. Story za alien ni ushirikina wa kizungu msihangaike nao.

Alien, Zombie,Vampire ni ushirikina wa kizungu.

Jini ni ushirikina wa kiarabu.

Sisi tuna misukule, vibwengo, mizimu na dondocha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom