Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,175
- 48,459
During kikombe cha babu saga there was many warnings from health proffesionals, but its fame was steered by politicians who went for that, I remember clearly people took their sick relatives from hospital and went to Loliondo.
Whoever tried to speak different about kikombe
Was being criticized that he/she is brain washed with western culture and they think westen medicine is superior that our own local medication.
Politicians, leaders and famour people didnt wait to take picture and post once they accomplished having kikombe.
There was a lot of testimonies everywhere about that medication. But now when we look back we know if those teatimonies were true or not..!
History usually has a tendency of repeating itself, wise people learn from mistakes( their own or their fellows), and fools tend to repeat Same mistakes.
Medication should never be allowed to be used by millions based on testimonies of 20 people and hyper from social medias, rest we might made same mistake and the only difference from previos mistakes will be..now we are old fools.
cr 😀r Frankie
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kama unaelewa maana ya ushirikina, labda unauelewa kwa context ya mabeberu!Jamani endeleeni kujifukiza, ushirikina sasa ni rasmi.
Hakuna namna, a desperate society !
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekasirika sana.Sasa kwa nini umeandika kichwa cha habari kiswahili maelezo lugha ya malikia

bwana wee 😂View attachment 1444118
View attachment 1444119
View attachment 1444120
Sent from my iPhone using JamiiForums
hahah dahAmekasirika sana.
Unajua ni rahisi kuandika kwa lugha ya malkia wakati una hasira kuliko kuandika kwa kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah dahAmekasirika sana.
Unajua ni rahisi kuandika kwa lugha ya malkia wakati una hasira kuliko kuandika kwa kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
..wenzake kama nini. Una maana Mkapa na Kikwete waliotuandikia vitabu vya kuhusu maisha yao kwa kutumia lugha hiyo ya kishetani huku wakiwa wamemaliza kututawala kwa miaka kumi na wanatujuaNa wewe unakuwa Kama Issa shivji na wenzake kutuandikia Jambo linalotuhusu Waswahili kwa lugha Ya kizungu.......
kidogo tu mzee baba angalau kuelewa mawili matatu. vipi lakini za kujifukizanljua umeeelewa basi tu ukawa unanitania , google helper utashindwaje mambo madogo haya , google helper kabisa msaidizi wa google![]()
umenikumbusha msemo wa hakuna jeshi imara duniani kama jeshi la waliokata tamaa
we go by rank. aliyeenda kuichukua ndo ainywe kwanza yasije mkuta yalompata mtangulizi wa ofisi yake. Huyo mmama atakingwa na mumeweKabudi waziri wa mambo ya nje na mtaalamu was tiba cov 19, kulikoni?? sijamwona waziri wa afya na team ya wataalamu wa wizara
hivi wanajifukizaje chief naomba maelekezo nijaribu na swalehe hapaakidogo tu mzee baba angalau kuelewa mawili matatu. vipi lakini za kujifukiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabudi waziri wa mambo ya nje na mtaalamu was tiba cov 19, kulikoni?? sijamwona waziri wa afya na team ya wataalamu wa wizara
si ndiooIshu ya kikombe cha babu ilikaa sana kiimani na itikadi za kidini hivyo waliopinga na wao walipingwa kwa sababu tu imani ilihusishwa kwa kiasi kikubwa.
Tatizo kubwa huwa tunachanganya mambo mawili katika wakati ambao siyo sahihi.
Kuna taarifa hata hapa kwetu tumepiga hatua. Soma taarifa hii. Ila pamoja na matumaini ya dawa, kinga bado ni bora kuliko tiba.During kikombe cha babu saga there was many warnings from health proffesionals, but its fame was steered by politicians who went for that, I remember clearly people took their sick relatives from hospital and went to Loliondo.
Whoever tried to speak different about kikombe
Was being criticized that he/she is brain washed with western culture and they think westen medicine is superior that our own local medication.
Politicians, leaders and famour people didnt wait to take picture and post once they accomplished having kikombe.
There was a lot of testimonies everywhere about that medication. But now when we look back we know if those teatimonies were true or not..!
History usually has a tendency of repeating itself, wise people learn from mistakes( their own or their fellows), and fools tend to repeat Same mistakes.
Medication should never be allowed to be used by millions based on testimonies of 20 people and hyper from social medias, rest we might made same mistake and the only difference from previos mistakes will be..now we are old fools.
cr 😀r Frankie
Sent using Jamii Forums mobile app
wow inapendeza sana mzeeKuna taarifa hata hapa kwetu tumepiga hatua. Soma taarifa hii. Ila pamoja na matumaini ya dawa, kinga bado ni bora kuliko tiba.
JIKINGE UMKINGE JIRANI
JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF, inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa pilipili kichaa, tangawizi, limao na kitunguu saumu, asali na maji. Alisema dawa hiyo inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona, kwa kutibu dalili zinazotokana na ugonjwa huo.
Kwamba tayari imeshaonyesha matokeo chanya. “Mchanganyiko wa tiba lishe hiyo sio dawa ya corona, lakini inasaidia kumpa nafuu mgonjwa wa corona kwa kuwa inatibu dalili zinazoambatana na ugonjwa huo,” Dk Omolo.
Alisema mpaka sasa tiba lishe hiyo, imeshaleta matokeo chanya kwa kuwa imesaidia wagonjwa wengi wa corona. Alisema kwa sasa mahitaji yamekuwa ni mengi, tofauti na awali.
“Mwanzo tulikuwa tukitengeneza chupa 1,000 na tumekuwa tukisambaza hospitali kwa wagonjwa kwa siku chupa 120 hadi 200, lakini sasa mahitaji yamekuwa makubwa na imeonyesha matokeo mazuri kwa wagonjwa,” alisema
Alisema kutokana na mafanikio hayo, serikali imewaongezea vifaa ambapo kuanzia wiki ijayo wataanza kuzalisha chupa 5,000 kwa siku. Alisema chupa hiyo yenye ujazo wa nusu lita, inauzwa Sh 10,000 na ni dozi ya mtu mmoja ambayo inanyweka kwa siku tano, ambapo mgonjwa atalazimika kunywa mara tatu kutwa.
Dalili za ugonjwa huo wa corona ni joto mwilini na kikohozi kikavu; na baada ya wiki moja kikohozi hicho, kinaweza kusababisha tatizo la kushindwa kupumua. Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya duniani (WHO) kwa wagonjwa 56,000, ulibaini kuwa asilimia 80 ya wale walioambukizwa, hupata dalili zisizo kali kama vile kukohoa, joto mwilini na mara nyingine homa ya mapafu, asilimia 14 hupatwa na dalili kali, kama vile tatizo la kupumua.
Asilimia sita hukumbwa na tatizo la mapafu kushindwa kufanya kazi na viungo vingine mwilini na hata kusababisha kifo. Miongoni mwa dalili nyingi zilizoripotiwa na wagonjwa, asilimia 88 walidai kuwa na joto mwilini, asilimia 68 kikohozi kikavu na asilimia 38 waliripoti uchovu. Tatizo la kupumua liliwapata asilimia 19 ya wagonjwa, asilimia 13 waliripoti kuumwa na kichwa na asilimia nne waliripoti kuharisha.
Omolo alisema kwa mtu ambaye hana dalili, anapaswa kutumia dawa hiyo mara moja kwa siku na hiyo itamsaidia kujikinga na ugonjwa huo wa corona, ambao takwimu za WHO zinaonesha hadi Mei 6, mwaka huu, ulikuwa mewakumba watu 3,588,773.
“Watu wanapaswa kujua kwamba virusi vya corona au Covid 19 ni mojawapo ya homa, hivyo basi vina dalili nyingi zinazofanana na homa ya kawaida’’, alisema
“Lazima uwe makini iwapo unahisi tatizo la kupumua. Ni muhimu kutafuta msaada wa matibabu haraka. Tiba lishe hii haina madhara, watu waitumie ili kujikinga na janga hili la corona, “ alisisitiza Watalamu wanasema zipo njia nne za kudhibiti vimelea vya magonjwa hasa virusi ambavyo havina tiba.
Njia ya kwanza ni chanjo na ya pili ni kuzuia virusi visiweze kujishikiza kwenye seli zilizopo mwilini. Njia ya tatu ni kudhibiti visizaliane au kuongezeka mwilini na njia ya nne ni kuongeza protini mwilini ili kusaidia kupambana na virusi hivyo. Kwa mujibu wa Dk Omolo, NIMRCAF ina vitamini C kwa wingi na vitamini K, na kitaalamu mchanganyiko unaopatikana katika tiba lishe hiyo unaitwa ‘Polyphenols’. Mchanganyiko huo unazuia damu kuganda.
Alisema seli zinazopokea virusi vya corona, zipo kwenye mapafu na virusi vikiingia humo, husababisha damu kuganda na kuleta matatizo kwenye mfumo wa upumuaji. “Mgonjwa akitumia tiba lishe hii, ndani ya nusu saa lazima atasikia nafuu.
Wagonjwa wengi waliokuwa hoi walipoitumia, wamepata matokeo mazuri na wengine wamepona kabisa,”alisema Alisema walianza utafiti wa dawa hiyo muda mrefu, kabla dunia haijakumbwa na janga la corona.
Walifanya utafiti huo kwa kushirikiana na watalamu mbali mbali wa tiba asili.