Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
ngoja tuone mzee
Kumbe ndo maana hata kimalkia hakijanyooka sawasawa.hahaha chief uzi nmemwomba jamaa angu twitter niulete huku
wapi pamekutatiza nikutafsirie mzee wangu
HahahaKumbe ndo maana hata kimalkia hakijanyooka sawasawa.
ni kujijengea banda la blanketi ww na sufuria yenye mitishamba ya moto inayotoa mvutehivi wanajifukizaje chief naomba maelekezo nijaribu na swalehe hapaa
nmekumiss sana mpaka naumwaBaba Vick naweweeee,,.,chaaaa
Nipeleke basi kwa rasi simba,lol