jaman atakae pata code atupe mrejeshoo maana udom walisema leo wanaaza kutumaa maana hapa kuna changamoto mbili tu kupata code na comfirmation letter shuhulii ipo hapaa.......
walinipigia simu jana wa comfirm kama ntaenda na wakaniambia zoezi la kutuma code litaaza si mda mrefu leo wamenambia wapo wanaziandaa ni nying leo au kesho zitakua zishatumwaaa