kuhusu bodi ya mikopo elimu ya juu.

tan 90

Senior Member
Jul 29, 2012
182
36
habari wana jamvi. . ,jamani naomba kujua kuhusu hili,mwaka jana udom kulitokea mambo ya mgomo ambyo yaliyotufanya tukae nyumbani kwa muda mrefu sana,baadae tuliitwa kuendelea na masomo lakn mambo hayakwenda poa,nikaamua kutulia kuomba chuo tena mwaka ulifuata,nimeomba tena mwaka huu,nimechaguliwa tena udom koz tofauti,sasa naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata mkopo tena,tafadhali wanajamvi naomba mawazo yenu. . . . . . .karibuni
 
Najua wengi 2likuwa 2nahamu na vyuo na wengi we2 2mepata kifuatacho ni kusubiri hzo % hapa ndo insue jamani! HOJA MEZANI
 
Ulilipa 25% ya hela ambayo ulkwishapewa na bod,sambamba na kusmamshiwa mkopo wako wa awali?!vngnevo si rahc kupata mkopo tena!
 
Kama ulipewa mkopo alafu uaingimitini bila taarifa mwaka huu uwezekano wa kupata mkopo huko mdogo sana lakini kama kulikuwa na taarifa unaweza kupata
 
Back
Top Bottom