According to Albert Einstein, if honey bees were to disappear from earth, humans would be dead within 4 years
Hapa sijaelewa kwa nn anasema hivyo
naomba kujuzwa
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.
4yrs,uchavushaji wa nyuki ni asilimia ngapi ktk uchavushaji?
Du! mkuu ulivomkana!!Mosi mimi sio mtaalamu wa Kilimo
Mbili, sifahamu idadi ya population ya honey bees
Tatu, sijui idadi ya maua ya mimea yote ulimwenguni
Hivyo swali lako halitaweza kupata jibu kutoka kwangu
Du! mkuu ulivomkana!!
swali langu linatokana na ulichokiandika hapo juu,kama alivyosema Ndibalema si vizuri kunikana chief
Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.
NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula

so no nyuki less pollination hence less food na mwisho life ya binadamu inakuwa kwenye hatihati!
Hivi nyuki ndo anayefanya pollination peke yake??? What about butterfly, sting, na upepo kwa baadhi ya mimea..
I doubt this is an authentic Einstein quote. Unfortunately, due to his fame, many an urban legend are passed along under the Einstein signature.
Unaweza kunipa source?
Kama hivyo ndivyo ilivyo binadamu kwa nini hatuwaenzi nyuki? Akiuawa tembo tunapiga keleeeeele kumbe muhimu kwa uhai ni nyuki?Ni hivi kaka, unlike human beings mimea huendeleza kizazi chake kwa kutumia Mfumo uitwao Uchavushaji au kwa Kimombo huitwa Pollination.
Kuna vichavushaji vya aina nyingi kama upepo, mwanadamu n.k lakini mdudu NYUKI ndiye agent mkubwa wa pollination.
Nyuki hubeba poleni kutoka ua moja la kiume kwenda kwenye ua jingine la kike, mbegu na tunda hutengenezwa.
Kwa mantiki hiyo basi, kama nyuki ikitokea wamekufa wote kutakuwa na downfall ya uchavushaji na hapo itapelekea mimea kutozaliana.
Hali hiyo ikishafikiwa ni wazi kutakuwa na starvation kwa kiwango kikubwa na hivyo kufa kwa population ya wanadamu.
NB:
Mbegu = Huendeleza kizazi
Tunda = Hutumika kama chakula
Kama hivyo ndivyo ilivyo binadamu kwa nini hatuwaenzi nyuki? Akiuawa tembo tunapiga keleeeeele kumbe muhimu kwa uhai ni nyuki?
DoohMosi mimi sio mtaalamu wa Kilimo