Wilson wilfred
Member
- Mar 29, 2014
- 26
- 9
mmmmmh! ngoja muda uongeeYah ni kweli ajira zitajumuisha intek mbili yaan ya mwaka Jana na mwaka huu
Polisi wamesitishiwa ajira kwa muda wa miaka mitatu nawasiwasi na huku kwa walimu watasitisha muda sio mrefuNaona unavutia uzi kwako..hahaha
Endelea kusikia nduguJaman Wana Jamii forum, naomba mnisaidie kwa hili, nime sikia tete si kwamba serikali eti kwenye mpango wa kuajiri walimu mwaka huu 2016, itaajiri hata wale walio maliza masomo mwaka huu 2016 yaan mwezi may 9,yaan walio Pata matokeo July 18, SASA NAOMBA ANAYE FAHAMU VIZURI, juu ya mpango huu anijuze, nitashukur sana, nawatakieni siku njema yeye Baraka na fanaka.
Sijui kwanini huwa hawatulii na kuzitumikia taaluma zao vizuri, huyu sio mwalimu wa kwanza kuandika hivi ..!!Umeeleweka ila kwa mwandiko huo huko shuleni utaenda kuua kiswahili lugha yetu haki ya nani!!
Mmh..mkuu mwaka 2014 polisi waliajiriwa..then mwaka jana wameenda depo kama unakumbuka kipindi cha uchaguzi wakawa wanasambazwa halmashauri..mwaka huu sijajua.Polisi wamesitishiwa ajira kwa muda wa miaka mitatu nawasiwasi na huku kwa walimu watasitisha muda sio mrefu
Itakua vizuriYah ni kweli ajira zitajumuisha intek mbili yaan ya mwaka Jana na mwaka huu