Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki


Hatutaki kuamini hayo tunayoyasikia lakini pia hatutayapuuzia........
 
Nahonga na kuhongwa hata sikumbuki...kudaiana
 
"Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki".....by Annael wa JF

Related:
Penye udhia, penyeza rupia
pesa sabuni ya roho
mkono mtupu haulambwi
mwanamke hupigwa kwa upande wa khanga
ukitaka kula na wewe kubali kuliwa japo kidogo.....By JK
 

Kunakila sababu yakuchunguzwa akili zako unahonga fedha au chochote kwa mwanamke ambaye huna undugu naye huo niubwege wahali ya juu
Mimi sijawahi kuhonga na mwanamke kama yuko tayari kukaa nami aje moja kwa moja na barua yakuomba kuolewa hapo nitatoa mahali na mambo mengine madomadogo
 

Duh! Mwanamke aje!! Mwanamke kuwa na wewe lazima kuna sababu. Mwanamke hawi na mwanaume hovyo hovyo. Kumbuka WOMAN Well organised man.
 
Wanaume jitaidi kutumia mdomo kuliko fedha kuhonga hakuna faida yoyote zaidi yakujitia hasara
 
Kwa hio mienapenda miteremko? Tuheshimiane Matola hajashindwa kunitunza you know!

Huyo hajui kukaa na wanawake achana nae. Anachuki binafsi kwako.
 
Last edited by a moderator:

Big no mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…