Kuhani Musa ni mganga Manyaunyau aliyechangamka

Haya mambo unayoyafanya leo, ya kuwatuma vijana wako kwenda kufukia uchawi feki, kisha baada ya siku kadhaa unaenda kuufukua, ni usanii wa kitoto sana, acha unajidhalilisha.

Mtu wa Mungu hupimwa kwa wingi wa neno la Mungu moyoni mwake na vile anavyoliishi.

Mara chungu nzima nimekusikia kwa masikio yangu ukisema ukifa usiende kuzikwa Moshi wachawi wataila maiti yako.

Neno la Mungu linasema katika Ufunuo 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Kama neno la Mungu limesema kwamba kuna kupumzika baada ya kufa, wewe iweje uliwe na wachawi badala ya kupumzishwa? Je ni matendo yako gani yanafuatana na wewe?

Neno la Mungu linasema vita vyetu si vya damu na nyama, ila ni vya rohoni. Mbona wewe mwenzetu uko kimwili zaidi?

Bro, acha lingolongo, tubu.
 
Ni kama wale wazigua wanaitwa "lambaLamba" wana maigizo hayo hayo ...Wanefukia chupa halafu wanafukua
 
Huyu jamaa ni mwizi na tapeli kama walivyo majizi na matapeli wengine!
Sijui kwanini haya manyumbu hayashtuki kuwa wanapigwa na huyu tapeli!
Anyway, acha wajinga na manyumbu waliwe!
 
Kwamba Mungu hawezi kugundua uchawi au?
Biblia haisemi tugundue uchawi imesema tukemee uchawi, na ukishalitaja Jina la Yesu kwenye ulimwengu Roho mambo ya kichawi yanahqribika hivyo mchawi hawezi kufanya chochote matokeo yakatokea, huko kwenda kufukua ni unganga na mazingombwe mpendwa, ni ushetani !!
 
Back
Top Bottom