Jaribu kupitia maandiko yako hayo kama wewe mwenyewe utayaelewa.Wadao naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu .kwasasa tupo CMA mwajiri anasema kituo chankazi Tanzania wakati barua ya tangazo la kazi ni mtwara port .na hivyo ili kukubari ajirabilikua lazima niisaini kukubaliana kabla ya mkataba.
Sasa baada ya kwenda cma alisema nimeajiriwa mtwara baada ya kuona kesi imeenda mbele anasema nimekuajiri tanzania
Msaada kabla ya kwenda mahakamani jumatatu
Pia je kama mwajiri amekuajiri anamamlaka ya kukuhamisha na kukufukuza kazi kisa mkataba umesema tz
Jaribu kupitia maandiko yako hayo kama wewe mwenyewe utayaelewa.
Hata ww unaweza toa ushauri
Asante nipe mwanga haijarishi nimekosea lakini content imeeleweka kinachotakiwa namna ya kudefend hiyo hoja
Kama kuna kosa la kimantiki ina maana kuna kosa kubwa sana ambalo mantiki ya andiko haitaeleweka.Nadhani utakua umeelewa japo kuna makosa ya kimantiki
Nikajua sijaelewa mwenyewe.kwa maelezo haya, ht uko mahakaman itakuwa ni shida.
Kweli ni shida, hebu msaidieni vinginevyo kama ni kweli ameajiriwa basi ni haki kwa mwajiri wake kumutilia shaka.kwa maelezo haya, ht uko mahakaman itakuwa ni shida.
Asante mkuu, inashangaza mtu ana adimit kosa tena la kimantiki lakini anashindwa kutambua kuwa bilashaka mantiki ya andiko lote haitaeleweka kabisa lisiposahihishwa kosa hilo.Kama kuna kosa la kimantiki ina maana kuna kosa kubwa sana ambalo mantiki ya andiko haitaeleweka.
Tafuta lawyer wewe ndio maana kuna fani za watu.Asante nipe mwanga haijarishi nimekosea lakini content imeeleweka kinachotakiwa namna ya kudefend hiyo hoja