Chalamila aanza kazi kwa kishindo mara baada ya kuhamishwa kituo cha kazi kwenda Daresalaam.

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa kagera chalamila ameanza kazi mara moja baada ya kuhamishwa kituo cha kazi mkoa wa Daresalaam leo ameonana na baadhi machinga na kuzungumza nao kujuwa changamoto zinazowakabiliView attachment 2624493
FB_IMG_1684260617647.jpg
 
Huyu mtu non compos mentos. Alipofukuzwa kazi Mbeya alichanga nyikiwa akili. Alipoajiriwa tena ndio fahamu zake zimerudi.
Kwamba serikali imemleta hapa ina maana hawafikiri hili tatizo ni kubwa.
Anasema Walokole walimfuata wakasema walevi wanatusumbua na kelele zao za bar.
Anasema akawajibu kwamba walevi wanasema nyinyi mnawapigia kelele na mahubiri yenu.
Hivi alivyofika hapa hizo Sheria za NEMC zitakuwa revised.
Lakini kelele ni tatizo sana hasa mahali pa kazi,watu kupiga kelele. Hasa kama wanapiga kelele kwa makusudi kutengeneza mazingara mazuri ya kuleta fujo.
Lakini Makalla alikuwa unpopular. Alipofika tu watu wakachoma moto soko.
 
Back
Top Bottom