Kuhamia/retire South Africa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Dunia ya leo watu hawapendi kulazimishwa mambo na saa zingine haya mambo ya kulazimishana kuishi Tanzania huku mnajua fika serikali yetu haina interest za wananchi wa kawaida unless unatoka from the rulling au upper class.

Kinachonipelekea kuuliza hili suala ni baada kuambiwa kuwa prominent Tanzanians kama vile Ami Mpungwe, Mkapa na wengine kama vile Zadock wamejiimarisha kimaisha kule na Tanzania imekuwa kama vile sehemu ya kuchuma kwani kimaisha huko tuendako stability itaondoka

sasa kilichonistua ni mama mmoja ambaye alikuwa ni afisa mwandamizi serikali ya Tanzani kuniambia kuwa anafanya house hunting in Cape Town South Africa of course mama kapiga kazi zake kadhaa za consulting so she should have at minimum 5 mil in her savings somewhere.

Na sasa najiuliza inamaana watu wamegive up na Nyumbani kiasi hiki? Je inamaana SA imekuwa ndio new mecca fro returnees au ni insurance tuu?

Of course tunajua hata wazungu tokam mataifa mabali mbali wameweka base zao SA lakini je nyinyi vijana mnalifkiria vipi hili ya kumigrate moja kwa moja na bongo ikawa ni shamba tuu mbaka hawa wanaotutawala watakapo weka their heads right na kuwa serious kwenye kuendeleza nchi?


Mlio na upeo zaidi juu ya hii issue tunaomba input zenu
 
Back
Top Bottom