Kuhamia dodoma yalikuwa maamuzi an ushauri wa kisiasa au kitaalam

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu
hili jambo limeongelewa sana lakini napenda kulileta jamvini kw auchambuzi , maswali na ufafanuzi zaidi

Je

  • Sababu hasa za maaamuzi ya serikali kuhamia Dodoma zilikuwa ni za kisiasa tu au ulikuwa ni ushauri wa kisiasa na kitaaalam.
  • Sababu zipi specifically za kitaalam na may be za kisiasa seriakli ililizingatia mpaka kufikia uamuzi mzito na wa gharama wa kuhamia Dodoma?
  • Je status na Mpango wa serikali ikoje sasa hivi una muda una wizara kama tano hivi zilikiwisha hamia dodoma. Je bado zipo huko?
  • CDM, CUF, NCCR misimamo yao ikoje kuhusu jambo hili
  • kama wananchi mishahara yao iliweza kukatwa kuijenga dodoma na miundombinu yake kisasa Kwa nini mpango huo usitumike kukatwa mshahara kila mwaka wa ajili ya kuimarisha miudombinu ya mkoa fulani uliochaguliwa kwa mwaka wa fedha fulani? . My be tutaanza na Kigoma. then mtwara, then singida, then kagera, then rukwa, kilimanjaro then shinyanga etc.

Nawasilisha kwa mjadala
 
Katika mjadala wa maana huu ni wa maana sana

Nafikiri ulikuwa uamuzi wa kitaalam, ni wakati muafaka kuhamia dodoma (serikali ya Tanganyika)

Kiuchumi utasaidia kufanya re-distibution of national income katika mikoa ya kati...(matumizi makubwa ya serikali, wafanyakazi etc)

Itaondoa foleni ..Dar...inatakiwa jambo hili liwepo kwenye katiba mpya
 
Katika mjadala wa maana huu ni wa maana sana

Nafikiri ulikuwa uamuzi wa kitaalam, ni wakati muafaka kuhamia dodoma (serikali ya Tanganyika)

Kiuchumi utasaidia kufanya re-distibution of national income katika mikoa ya kati...(matumizi makubwa ya serikali, wafanyakazi etc)

Itaondoa foleni ..Dar...inatakiwa jambo hili liwepo kwenye katiba mpya

Aksante sana lakini unadhani nini kinakwamisha au kufanya zoezi hili kuwa gumu? Nyerere alifanya maamuzi lakini yeye nadhani wakati wake wansema fedha za zoezi hilo haziuwepo za kutosha. Mwinyi tumuache. Tuje kwa Mkapa. Serikali yake ya CCM kupitia ubinafshjai ingeweza japo kuhamishahata nusu ya wizara kwenda dodoma lakini hatukuona kitu. Sasa tuko utawala wa JK na wenyewe utaisha bila kuzungumia ua kukwepa kwepa hoja za dodoma.

Lakini Topical kama foleni hivi VX 60 zikihamia dodoma moja kwa moja haziwezi kuwa chanzo cha foleni kwa bara baraba za dodoma zilivyo. Chuulia wizara 10 zenye VX 3 kila moja. ndani ya dddoma. Chukulia tena kadirio katika hizo wizara kuna wafanyakazi wanne kila mmoja ana usafiri wake. kwa hiyo magari binafsi 40. So zikihama ziara kumi kuna kadirio la ongezo ya magari 100 kwenye mji wa dodoma.

Kuhsusu ditribution of welath nakubaliana na wewe kabisa. Sasa nini tatizo. la usindwa kuhamia Dodoma. au Nani ni tatizo. Ni CCM? , Ni jeshi?, Ni fedha?
 
Mtazamaji,

Dodoma kulikuwepo kitu kinaitwa CDA, hicho kiliweka master plan kuondoa uwezekano wa ofisi za umma pamoja na binafsi kulundikana eneo moja...hivyo kuleta foleni..na miundo mbinu bora (wana muda wa kufanya hivyo)

Kwanini hawaendi sijui..hayo ndio mambo ambayo vyama vya upinzani vinge hoji na kuandaa maandamano au kuja na hoja mbadala..

Natamani mbunge moja ajitokeze aandae maandamano kushikiza habari ya kwenda dodoma...
 
Back
Top Bottom