KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,756
- 2,998
Habari wana jf!
Naomba msaada kwa anayefahamu taratibu za kuhama kutoka halmashauri kwenda mashirika ya umma.
Mimi nilikuwa nafanya kazi katika shirika la TANESCO kwa miaka mitano nikiwa temporary.Kwa sasa nimepata ajira ya kudumu halmashauri lakini nataka nirudi TANESCO au shirika lolote.
ASANTENI