Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
UmekurupukaMi naona usumbufu tu,siwezi poteza mawasiliano na watu wangu wengi ikiwamo Wa nje ya nchi..kiss kuhama mtandao kwa mwezi mmoja
UmekurupukaMi naona usumbufu tu,siwezi poteza mawasiliano na watu wangu wengi ikiwamo Wa nje ya nchi..kiss kuhama mtandao kwa mwezi mmoja
Inaelekea elimu juu ya hili swala bado
Basi wachache watapata huduma hii kwani wale ambao wapo vijijini huduma hii wataisikia kwa wenzao tuProcess yake siyo rahis...
Nilidhani unafanyia kwenye simu yako tu kumbe unaenda kwenye ofis za kampuni ya mtandao unaotaka kuhamia..
unajaza form mpaka ziende tcra..
Tija ipo kwa mfano upo tigo na nambs yako ni ya muda mrefu watu wameizoea lkn tigo ina matatizo ya network ulipohamia ambapo vodacom wapo imara katika eneo hilo hilo una ewezo wa kuhamia voda kwa namba ile ile ya tigo watu wako wakaendelea kukupata kama kawaida.kweli aisee lakin mlolongo mwingi ni usumbufu tu haina tija
Una simu ngapi?Mimi line zote ninazo nihame niende wapi
Una simu ngapi?
tatuKuna ambao hawana uwezo wa kuwa na simu zaidi ya moja yenye simcard mojatatu