Hii itasumbua sana kwa wateja wanaotaka kupiga offnet, itabidi vifurushi navyo vibadilike kabisa, kuwe na flat rate kwenye kupiga offnet na on-net
Let say mi nipo voda nimejiunga na kifurushi cha voda - voda, ntamtambuaje voda mwenzangu ili niweze kumpigia...?
Mwanzoni tulikuwa tunaangalia jinsi number zinavyoanzaa kwamfano 075,076 etc unajua huyu ni voda mwenzangu