Kachangamtoto
Member
- Dec 4, 2012
- 82
- 28
Ngoja tusubiri msaada toka kwa wadaumi mwnyewe naona chenga tu
Nimepuga bado sijawaelewaUnahama bila kubadili namba. Let's say wewe ni mteja wa tigo namba yako ni 0713178634.. unaweza kuhamia vodacom au aitel (wereeva) ukabaki na hiyo namba yako..yaani unakuwa mteja wa airtel line unapewa ya airtel ila namba yako inabaki ileile
Siwezi kutumia namba moja kwa mitandao mitatu?? Yaan same no napata huduma ya tigo,voda na halotel??Unahama bila kubadili namba. Let's say wewe ni mteja wa tigo namba yako ni 0713178634.. unaweza kuhamia vodacom au aitel (wereeva) ukabaki na hiyo namba yako..yaani unakuwa mteja wa airtel line unapewa ya airtel ila namba yako inabaki ileile
Yaani 0757413591 unaingiza vocha ya TIGO !!!!?.Wazungu hawajalala kama kwenu Africa..! Lazima uone chenga tuu (mwafrica)
Wakuu, kuna hizi taarifa za kuhama mtandao bila kubadili namba.
Naomba kuelewesha inakuaje apo.
" Habari kwa Umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tar 01.03.2017 kwa malezo zaidi piga 100 au tembelea maduka yetu.Please be informed that mobile number portability service will be available effective from 01.03.2017"
Hapana. Kumbuka kuwa unabadilisha line namba ndo haibadiliki..ukienda tigo unapewa line ya tigo, ukienda airtel unapewa line ya huko na unakuwa mteja wa huko..huwezi kutumia mtandao zaidi ya mmoja at a time ila na namba yako hiyo moja unaweza kuzunguka mitandao yote ya simu. Nadhani ukipiga customer care utapata maelezo zaidiSiwezi kutumia namba moja kwa mitandao mitatu?? Yaan same no napata huduma ya tigo,voda na halotel??
Santee mkuu...nimekuelewa apoYaani kwa mfano sasa hivi una line ya Tigo namba 0717010101010 utaingia kwenye settings katika simu yako utaenda Networks utafanya manual search itakuja mitandao mingine utachagua mfano VODA, kwa hio namba yako utakuwa unatumia huduma za Voda kama ni laini ya Voda. Unaweza kuhamia mtandao wowote na kujiunga na vifurushi bila shida.
UmepotoshaYaani kwa mfano sasa hivi una line ya Tigo namba 0717010101010 utaingia kwenye settings katika simu yako utaenda Networks utafanya manual search itakuja mitandao mingine utachagua mfano VODA, kwa hio namba yako utakuwa unatumia huduma za Voda kama ni laini ya Voda. Unaweza kuhamia mtandao wowote na kujiunga na vifurushi bila shida.
Daaa,, mkuu apo bora uwe na lain za mitandao tote tuu kuliko kuhamaPamoja na maelezo ya wadau wengine hapo juu, kumbuka:
1. huruhusiwi kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine kama una deni.
2. huruhusiwi kuhama kama laini yako hujaitumia kwa takribani miezi sita au zaidi
3. unaweza kuhama tena baada ya siku 30 toka siku uliyohama mtandao mmoja kwenda mwingine.
4. piga 100 kupata maelezo zaidi
5. shirikisha ubongo wako kabla hujafanya maamuzi kama haya magumu.
Duh nmecheka Sana asee.Yaani kwa mfano sasa hivi una line ya Tigo namba 0717010101010 utaingia kwenye settings katika simu yako utaenda Networks utafanya manual search itakuja mitandao mingine utachagua mfano VODA, kwa hio namba yako utakuwa unatumia huduma za Voda kama ni laini ya Voda. Unaweza kuhamia mtandao wowote na kujiunga na vifurushi bila shida.
Cheka kidogo mkuu,, vingine tupe nas tuchekeDuh nmecheka Sana asee.