korino
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,013
- 686
Habari za mida hii wakuu! Nna mdogo angu yupo tanga yy afanyakazi km mtendaji wa mtaa wa kata flani huko huko tanga! Anataka aondoke tanga ahamie DSM! Je kwa huko DSM anaweza kupata nafasi ya kazi km hiyo?yaani tutajua vipi km kuna nafasi ya kazi km hiyo? Na utaratibu uko vipi?
Naombeni msaada wenu tafadhali...asanteni
Naombeni msaada wenu tafadhali...asanteni