ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,801
- 60,648
InategemeanaNaunga mkono hoja japo let them behave punctual yaani mwanamke kuwa muadilifu vivyo hivyo mwanaume kuwa muadilifu ni jambo la msingi sana.
Tabia ya uchepukaji sio dili.
Kivipi sasa mama au una namna unielezeInategemeana
Kukaa katika mstari sahihi inategemeana na mazingira ya ndoa yenyewe....ukipungukiwa nguvu za kiume utanisamehe tuKivipi sasa mama au una namna unieleze
Aisee kwanini usipambane nguvu ziongezeke au kurudi katika hali yake ya awali?Kukaa katika mstari sahihi inategemeana na mazingira ya ndoa yenyewe....ukipungukiwa nguvu za kiume utanisamehe tu
Hajaolewa huyu anakuzuga.Aisee kwanini usipambane nguvu ziongezeke au kurudi katika hali yake ya awali?
Au muda mchache?[emoji1]
Kwanini nipambane wakati siumwi mimiAisee kwanini usipambane nguvu ziongezeke au kurudi katika hali yake ya awali?
Au muda mchache?[emoji1]
Kula au kulana kimasiharaTuendelee kula kimasihara...
Unampambania mtalam wakoKwann nipambane wakati siumwi mimi
Nguvu za kiume ndio pesa auKukaa katika mstari sahihi inategemeana na mazingira ya ndoa yenyewe....ukipungukiwa nguvu za kiume utanisamehe tu