Kugongewa ni siri ya ndani

Kugongewa ni siri ya ndani

Mnao angaika kuwachunguza wake zenu kama wanaliwa nje mnachotafuta mtakipata kuwa na imani huyo ni mkeo maisha yaendelee.
 
Shetwani mkubwa. Na yakupate wewe siku moja.
Hata kuku na mbwa wanagongeana sana kikubwa upate mwanamke ambaye ni mjanja asikuletee maradhi kama vile gonorea.. inauma lakini hakuna namna tusaidiane tu kwa kweli ila hakuna mwanamke wa kwako peke yako cha msingi wewe fanya kazi zako usimuwaze sana.

Mwanamke mpaka aamue kuacha yeye kuchepuka mwanaume ni mtafutaji siku zote ndo maana ukifumaniwa na mke anaweza kukusamehe kwa sababu anajua wewe ndio mtoaji.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom