Kugongewa ni siri ya ndani

Kugongewa ni siri ya ndani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,619
Reaction score
56,930
Hata kuku na mbwa wanagongeana sana kikubwa upate mwanamke ambaye ni mjanja asikuletee maradhi kama vile gonorea.. inauma lakini hakuna namna tusaidiane tu kwa kweli ila hakuna mwanamke wa kwako peke yako cha msingi wewe fanya kazi zako usimuwaze sana.

Mwanamke mpaka aamue kuacha yeye kuchepuka mwanaume ni mtafutaji siku zote ndo maana ukifumaniwa na mke anaweza kukusamehe kwa sababu anajua wewe ndio mtoaji.

1625048974069.png

 
Naunga mkono hoja japo let them behave punctual yaani mwanamke kuwa muadilifu vivyo hivyo mwanaume kuwa muadilifu ni jambo la msingi sana.

Tabia ya uchepukaji sio dili.
Inategemeana
 
Pale unapoficha siri iliyozagaa mtaani na kujifariji eti hakuna kilichotokea. Sipendagi kulisha ubongo wangu matangopori...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom