Kugongewa mke inauma sana

Muulize "ze tumbili" jinsi "katelephone" alivyomuharibia hadi ndoa challiii! Katelephone hazeeki bhana ni picco kwenye nywele kwa kwenda mbele! PISI zina mkubali!
 
Kuna tukitu kinatembea kwa AKILI yangu kinaniambia mie sina😀🤓, Ngoja niende kwa mwamposa nikachukue maji ya baraka nikikemee😂😂, Ila nachukia hilo neno ishini nao kwa AKILI!!( women take advantage of it)
Wenye akili hawapati tabu na sisi ila wasio na akili sasa😂😂😂

Kama hauna akili usioe, kataa ndoa wote wanajijua hawana akili ndo maana hawataoa, tuipunguzie serikali mizigo isiyo ya lazima
 
Umefeli bwashee, hivi wewe ni kipi utakacho mpatia aridhike ambayo hakuwai kupata kwao?

Ebu fanyeni kazi, wewe si unaogopa kuzama chumvini sasa mkeo anafuata wachimba migodi ok
 
Wenye akili hawapati tabu na sisi ila wasio na akili sasa😂😂😂

Kama hauna akili usioe, kataa ndoa wote wanajijua hawana akili ndo maana hawataoa, tuipunguzie serikali mizigo isiyo ya lazima
Kuna swali fikirishi kwenye kichwa changu huwa najiuliza "Je walioshindwa kwenye ndoa zao WOTE HAWANA AKILi??, je mwanamke sio kiumbe mwenye utashi na maamuzi yake??, na nyie hampaswi kuishi nasi kwa AKILI!!, coz mazuri au mabaya yote tunayoweza kutenda na nyie mnaweza kutenda!!
 
Ndo maana mlisisitizwa kutumia akili, tuna akili kuwazidi nyie
 
Hili swali wanaume wengi hatulitaki kwa sababu tumeshajiwekea sheria kuwa mwanaume ni ruksa kuchepuka lakini mwanamke ni hapana. Na mbaya zaidi wanaume wanaopenda kuchepuka sana wana wivu siyo mchezo.
Ushaleft group nini ushawahi mwanamke kaolewa na wanaume wanne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…