Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kim naye kwa sasa hana tofauti na hawa waswahili wetu! Yaani uwaache wachezaji wenye nguvu na kasi kama George Mpole, Kelvin John, Kibu Dennis! Halafu unamuanzisha mbele Nickson Kibabage!

Kwa upangaji huu mbovu wa timu, halafu tutarajie matokeo! Labda tushinde kwa bahati.
Hapo Kocha hajaeleweka kabisa, ni kutafuta lawama kwa mashabiki tu.
 
Leo tunashinda naamini tukiwa na nidhamu kubwa
Hiyo nidhamu itapatikana wapi kwa aina ya mabeki wetu wa kati! Bakary Mwamnyeto ni beki anayejisahau sana awapo uwanjani!

Na hata ukimfuatilia kwenye timu yake ya Yanga, amekuwa akisababisha mara nyingi timu kufungwa magoli ya kizembe kwa sababu ya kujisahau kwake.

Dickson Job naye anakula sana daruga nje ya 18! Jambo ambalo ni hatari sana iwapo hawa jamaa watatumia nafasi vizuri.
 
Hapo Kocha hajaeleweka kabisa, ni kutafuta lawama kwa mashabiki tu.
Ngoja tuone maajabu aliyo tuandalia Watanzania kupitia huyo Kibabage! Kwa mtazamo wangu, naona George Mpole na Kibu Dennis walistahili kabisa kuanza kwenye hii mechi.
 
Ngoja tuone maajabu aliyo tuandalia Watanzania kupitia huyo Kibabage! Kwa mtqzamo wangu, naona George Mpole na Kibu Dennis walistahili kabisa kuanza kwenye hii mechi.
Yaani tupo home tunatakiwa kushinda mchezo lakini Washambuliaji wanaanzia benchi.

Hata Salum Abubakar alitakiwa kuanza, ngoja Tuone
 
Wote humu ndani hakuna anayejua Mpira na hakuna aliye elewa kwann ameanza na kibabage pembeni kushoto juu
 
Kim naye kwa sasa hana tofauti na hawa waswahili wetu! Yaani uwaache wachezaji wenye nguvu na kasi kama George Mpole, Kelvin John, Kibu Dennis! Halafu unamuanzisha mbele Nickson Kibabage!

Kwa upangaji huu mbovu wa timu, halafu tutarajie matokeo! Labda tushinde kwa bahati.
🤣🤣🤣🤣
 
Bora tubakie tu hatujui! Ila kuielewa falsafa ya Kim Poulsen kwenye hii mechi, inahitaji ujitoe ufahamu kwa kiwango cha juu sana.
Ngoja tutaona wat the tactical plan is...uzuri mechi hadharani sio ile mechi nyingine ya kujificha🤣🤣🤣🤣
 
Timu zote mbili zinangia uwanjani tayari kwa mchezo wa kufuzu AFCON 2023

Naaaaaam mpira umeanza Uwanja wa Mkapa

00' Tanzania 0-0 Algeria
 
Back
Top Bottom