Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
hiyo tsh 59 iliyobaki ndo ungebet na hiyo 20,500 ndo uende kunywa supuHela ya supu keshoView attachment 2254556
hiyo tsh 59 iliyobaki ndo ungebet na hiyo 20,500 ndo uende kunywa supuHela ya supu keshoView attachment 2254556
Hapo Kocha hajaeleweka kabisa, ni kutafuta lawama kwa mashabiki tu.Kim naye kwa sasa hana tofauti na hawa waswahili wetu! Yaani uwaache wachezaji wenye nguvu na kasi kama George Mpole, Kelvin John, Kibu Dennis! Halafu unamuanzisha mbele Nickson Kibabage!
Kwa upangaji huu mbovu wa timu, halafu tutarajie matokeo! Labda tushinde kwa bahati.
Hiyo nidhamu itapatikana wapi kwa aina ya mabeki wetu wa kati! Bakary Mwamnyeto ni beki anayejisahau sana awapo uwanjani!Leo tunashinda naamini tukiwa na nidhamu kubwa
Ngoja tuone maajabu aliyo tuandalia Watanzania kupitia huyo Kibabage! Kwa mtazamo wangu, naona George Mpole na Kibu Dennis walistahili kabisa kuanza kwenye hii mechi.Hapo Kocha hajaeleweka kabisa, ni kutafuta lawama kwa mashabiki tu.
Yaani tupo home tunatakiwa kushinda mchezo lakini Washambuliaji wanaanzia benchi.Ngoja tuone maajabu aliyo tuandalia Watanzania kupitia huyo Kibabage! Kwa mtqzamo wangu, naona George Mpole na Kibu Dennis walistahili kabisa kuanza kwenye hii mechi.
Hii ni ndotoFT: TANZANIA 2 VS ALGERIA 0.
MWENYEZIMUNGU IBARIKI TANZANIA.
Tupe elimu mkuu, ni kweli wengi hatujuiWote humu ndani hakuna anayejua Mpira na hakuna aliye elewa kwann ameanza na kibabage pembeni kushoto juu
🤣🤣🤣🤣Kim naye kwa sasa hana tofauti na hawa waswahili wetu! Yaani uwaache wachezaji wenye nguvu na kasi kama George Mpole, Kelvin John, Kibu Dennis! Halafu unamuanzisha mbele Nickson Kibabage!
Kwa upangaji huu mbovu wa timu, halafu tutarajie matokeo! Labda tushinde kwa bahati.
Bora tubakie tu hatujui! Ila kuielewa falsafa ya Kim Poulsen kwenye hii mechi, inahitaji ujitoe ufahamu kwa kiwango cha juu sana.Wote humu ndani hakuna anayejua Mpira na hakuna aliye elewa kwann ameanza na kibabage pembeni kushoto juu
Ngoja tutaona wat the tactical plan is...uzuri mechi hadharani sio ile mechi nyingine ya kujificha🤣🤣🤣🤣Bora tubakie tu hatujui! Ila kuielewa falsafa ya Kim Poulsen kwenye hii mechi, inahitaji ujitoe ufahamu kwa kiwango cha juu sana.
Nahamia CCMFT: TANZANIA 2 VS ALGERIA 0.
MWENYEZIMUNGU IBARIKI TANZANIA.
Ngoja tutaona wat the tactical plan is...uzuri mechi hadharani sio ile mechi nyingine ya kujificha🤣🤣🤣🤣