😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀nmecheka sanaIla yule aliyekosa goli ni Lukaku wa Lesotho
Achia kweendraa huko nyie mnajifanya wajuaj tuu Tafadhali usiniudhi hapa nlipoTena ukiniudhi ndiyo nitaiachia sasa hii ' Hirizi ' nilioishika hapa inaotusaidia tusifungwe ili tufungwe sasa rasmi ukasirike zaidi.
KituuuuuuuuuuuTimu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.
Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.
View attachment 938555
Kumbe tulishashinda banaaa...
Kwakweli acha tu niangalie three lionsJitu linapiga faulo straight anampasia mchezaji wa Lesotho dah tuna safari ndefu sana
Kwetu umeme umekatika endelea kutupa update65’ Mins | Lesotho 0 - 0 Tanzania
Vp tukipata drooLazima twende
Aisee kumbe afu umesahau big braza inatutoaga sana..Watanzania tunaweza kulaliana, majungu, chuki na roho mbaya.. Mpira na michezo mingine tuwaachie wengine...