Kufutwa mbio za Mwenge mwanzo wa anguko la CCM

Nadhani tukiacha kukimbiza mwenge miaka 3 mfululizo maambukizi ya HIV yanaweza kupungua Sana.
 
Kuna tambiko kubwa la kitaifa lilifanywa Lindi miaka ya zamani inabidi watu wa Mungu walivunje kwa ustawi wa taifa letu.
 
Tambiko la Mwenge chanzo chake ni wachawi wabobezi walikwenda huko Bagamoyo kuzindika kwenye mapango ya kuzimu wakiongozwa na Forojo Ganze Kiongozi Mkuu wa wachawi EA.
 
Sehemu gani? Au pale palipozungushiwa ukuta ambapo huwa naambiwa tu Pana shimo?
Kuna tambiko kubwa la kitaifa lilifanywa Lindi miaka ya zamani inabidi watu wa Mungu walivunje kwa ustawi wa taifa letu.
 
Tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi utawala wa Rais Magufuli Mwenge umekuwa ukikimbizwa maeneo yote ya Tanganyika na Zanzibar.

Mbio za Mwenge ni ibada kama zilivyo ibada za imani nyingine. Unaposhiriki mbio za Mwenge unafanya Ibada usiniulize kama ni sahihi au batili inategemea mtazamo wako.

Ninaamini Mwenge umekuwa ukipumbaza waTanzania namna ya kufikiri na kuamua kwa miongo mingi.

Mwaka huu mbio za Mwenge zilisitishwa kwasababu ya mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19. Mwaka huu Tanzania inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu Mwezi Oktoba kafara la Mwenge halitakuwepo hivyo kupelekea wapiga kura wengi kutumia akili zao sawa sawa na mapenzi ya Mungu.

Ngongo safarini Kilombero
Kusitisha mbio za mwenge mwaka huu: Je, zindiko limekiukwa? Hili linaweza kuigharimu CCM pakubwa
 
Kafara la Mwenge si lakitoto,Viongozi wazi na PhD za hawalali wanakesha usiku kucha,ukiwauliza nini faida za Mwenge watakujibu unaleta upendo sijui mshikamano na blah blah kibao ambazo ukizichunguza hazina uhusiano na Mwenge.
Unaambiwa eti amwenge unamulika Rushwa😅😅😅utafikiri ndio takukuru
 
Tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi utawala wa Rais Magufuli Mwenge umekuwa ukikimbizwa maeneo yote ya Tanganyika na Zanzibar.

Mbio za Mwenge ni ibada kama zilivyo ibada za imani nyingine. Unaposhiriki mbio za Mwenge unafanya Ibada usiniulize kama ni sahihi au batili inategemea mtazamo wako.

Ninaamini Mwenge umekuwa ukipumbaza waTanzania namna ya kufikiri na kuamua kwa miongo mingi.

Mwaka huu mbio za Mwenge zilisitishwa kwasababu ya mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19. Mwaka huu Tanzania inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu Mwezi Oktoba kafara la Mwenge halitakuwepo hivyo kupelekea wapiga kura wengi kutumia akili zao sawa sawa na mapenzi ya Mungu.

Ngongo safarini Kilombero
Unaenda Kilombero ya Arusha au ya Ifakara ?

Nataka nikuagize pepeta
 
Hawataamini kitakachotokea
 
Kama Kuna kitu niliona cha maana alichofanya Magufuli ni pamoja kufuta mbio za mwenge,mwenge upelekwe makumbusho ya Taifa.
 
Back
Top Bottom