meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
naamini kabisa kuwa POAC iliishinikiza serikali kumaliza mgogoro na wananchi wa mlongazila ili ujenzi uanze haraka ili kuepuka nchi kukosa mkopo huu.je serikali ilitekeleza maagizo ya POAC?
Sasa ndio muda muafaka wa ukombozi. Cdm go go.
Kuna haya Mabenki yanayokuja nayo haya ni EPA nyingineMmewabana kwenye bomba la gesi wamekosa pesa za kampeni 2015 sasa wahaha popote penye mwanya lazima wapige pesa vinginevyo CCM watashindwa kununua wapiga kura na wasimamizi wa uchaguzi mwaka 2015.
Kwa habari za kainzi ni kwamba, fedha hizo ndiyo zinazo gharimia mikutano Dodoma na nyingine ni akiba kwa uchaguzi ujao. EPA nyingine hiyo. Si unajua muasisi wa EPA kaaondolewa kwenye kilimo cha viazi na karudishwa chamani!!!!!
Siasa ni political chess, Zitto kala kete ya kumshambulia JK, JK kala kingi kumwondoa POAC!
Ni kweli ZZK was doing a good job, it seems he crossed the rubicon, an unspoken boundary was crossed.And we are the losers as rasilimali zetu zinazidi kuliwa na hakutakuwa na wakuyakosoa haya mashirika....
Siasa ni political chess, Zitto kala kete ya kumshambulia JK, JK kala kingi kumwondoa POAC!
And we are the losers as rasilimali zetu zinazidi kuliwa na hakutakuwa na wakuyakosoa haya mashirika....
Tatizo viongozi wetu ni Miungu wasiotaka kuguswa, hata bunge wanaendesha kwa remoter toka magogoni,
Ni kweli tu. Hata wale waliopata kumgusa Mh. Zitto watakwabia hivyo. Kijana ni king'ang'anizi na hakubali compromise kwa urahisi.
Mimi nafikiri alidhani yeye ni kama immune ndani ya CCM kwa sababu hata Mwenyekiti wa CCM hakuweka kambi Kigoma wakati wa kampeni za last General Election and ghafla, maazimisho na shughuli mbali mbali za CCM ziko mlangoni kwake. Na ilibidi hata achelewe bungeni kwa sababu alikuwa anafunika mashimo yaliyoachwa na CCM, baada ya kurudi bungeni, akapata shock ya pili, alipoambiwa kamati yake ya POAC no longer exist.
Nafikiri hafahamu kama serikali bado haipendi makabrasha yake kuwa wazi na kwenye mitandao 24hrs kama Mh. Zitto alivyokuwa akifanya. Most of government documents ukiingia kwenye blog yake, unakutana nazo.
Ama kweli kwenye siasa hakuna adui wa milele. Sasa hivi ameamua kutafuta nguvu ndani ya chama na kwenye majukwaa ya chama kwa vile hata viongozi wengine bado wanamuhitaji sana. Now is a win win situation. Chama need Mh. Zitto anda at the moment, Mh.Zitto need chama.
Nani alitegemea kama Mh. Zitto atakuja kusema Dr. Slaa alishinda uchaguzi uliopita. Yetu macho.
Uko kote wanazunguka waanzishe POAC kivuli ya upinzani bungeni.Wabunge wa chadema wapeleke hoja binafsi on this!
Wabunge wa chadema wapeleke hoja binafsi on this!
Mkuu ili kujua hivyo vitu ni lazima uwe umesoma Government accounting?you are trying to tarnish the good image of your professional!Pole sana kaka
POAC-Parastatal Organizations Accounts Committee-Mashirika ya umma
PAC-Public accounts Committee-Serikali kuu n a idara zake
Njoo usome Government accounting utaelewa sana mambo ya bunge mzee
Kuna watu wanatuuliza wanasema POAC za Zittio iliyovunjwa ni Gari au Nyumba?
Hata Zitto anapiga kelele sasa hivi baada ya kukosa ulaji,tuone sasa kama ataendelea kuimba wimbo wa kususia posho.Zitto ameisumbua sana serikali, imewachukua muda kupata mbinu ya kumtoa katika kamati hiyo, waliosuka mbinu hiyo hawakuangalia utaifa bali ulaji wa wakuu na wao kuambulia makombo ya mezani.