Kufuta vyeti vya degree ili kibaki cha diploma

Kufuta vyeti vya degree ili kibaki cha diploma

Sina jibu la hilo...maana kuna watu walishawahi kufuta accounts zao...nimeona wame comment hapo juu...waje watuambie..ukifungua tena zinakuja details zile zile???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatizo linakera sana wakuu, kazi tunaziona ila tunashindwa apply. Halaf unakuta kaz nyingine hadi za Form four wakati huo hao walioishia form 4 wenyewe hawana habari wala accounts za hiyo portal.

Huku ni kuvunjana moyo walah tena😪
 
Hili tatizo linakera sana wakuu, kazi tunaziona ila tunashindwa apply. Halaf unakuta kaz nyingine hadi za Form four wakati huo hao walioishia form 4 wenyewe hawana habari wala accounts za hiyo portal.

Huku ni kuvunjana moyo walah tena[emoji25]
Utumishi waliangalie hili....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv mawasiliano na tamisemi yanapatikana wapi maana namba zao zote za mtandaoni hazipatikani
 
Tuacheni utani wakuu, hii system ina maudhi balaa.
Ajira portal haitaki ubabaishaji kwa muda huu; hasa tangu ilipofanyiwa maboresho makubwa ya kisasa ili kuwadhibiti wadanganyifu.
 
Ajira portal haitaki ubabaishaji kwa muda huu; hasa tangu ilipofanyiwa maboresho makubwa ya kisasa ili kuwadhibiti wadanganyifu.
Hakuna anayehitaji ubabaishaji.

Moja ya kitu ambacho kilinisumbua kwa hawa jamaa ni kuwa ukiandika barua inabidi pia uscan ili utume.

Kwahiyo kama una posts 3 inabidi ufanye hivyo.

Kwahiyo haya ndio maudhi madogo madogo yaliyopo, haimaanishi kuwa watu wanahitaji ubabaishaji.

Jitahidi kujua mtu ana maana gani kabla hujaanza kumjibu, usisite hata kumuuliza kuliko kujibu kisha ukaonekana hamkuelewana.
 
Hv ukiwa na application letter za post 3 itabidi uwe na cover letter 3 pia au.?
 
Wakuu,

Mdogo wangu mmoja ananiuliza, kuna kazi za TRA zimetangazwa ajira portal.

Anataka aombe lakini ameshindwa, system inamkatalia sababu yeye ana degree ya accountacy.

Lakini pia alisoma diploma ya accountancy.

Kazi iliyotangazwa inataka kigezo kiwe diploma ya accountancy, lakini sababu yeye ameweka vyeti vya diploma na degree ya uhasibu anaonekana ame-over qualify

Je, kuna uwezekano wa kufuta cha degree kwenye system kibaki cha diploma?

Maana sio fair, watu wana vigezo lakini wanaonekana over qualify.

Wataalamu karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fraud case
 
Karagabao...

Hii issue haiwezekani kamwe...yaani ile namba ya nida ndo kila ktu sa hv.

Mimi kwa course yangu portal sitoupgrade chochote nimeacha ileile diploma yangu.
 
Hawa TRA ni wa ajabu sana, yaani hawataki mwenye degree? No wonder hawana kabisa ubunifu wa kupanua wigo wa kodi, wao wamekomaa na kodi za wafanyakazi na kubana wafanyabiashara waliopo enzi na enzi.
 
ukidelete system inajua na unaonekana unajaribu kuhide qualifications.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachokiona hapa ni uzembe uliopitiliza wa hao TRA, huwezi kumnyima nafasi mtu ambaye ana both diploma and degree. Ilitakiwa kwenye ku delete kuwe na option ya why deleting? Halafu from the reasons given mfumo unge accept Hiyo sababu coz si kosa kuwa na diploma na degree but wao wamekariri kama maroboti.
 
Kwani application letter na cover letter si ni kitu kilekile mkuu?
Sasa unataka utumie Moja ina make sense!,mfano kuna post3 ya Assistant custom,assistant investigation na Assistant revenue hapo utatumiaje Cover letter moja?

Pia mfano kuna Post 2 Assistant accountant TRA ,Assistant accountant TEMESA utatumiaje Cover letter moja!

Ezekiel Mbaga
 
kwann ukisema ni ww utakuwa umekosa nn mkuu. humu kila mtu akiuliza utasikia ni ndugu yangu mmoja ana shida hii na hii.
 
Wakuu,

Mdogo wangu mmoja ananiuliza, kuna kazi za TRA zimetangazwa ajira portal.

Anataka aombe lakini ameshindwa, system inamkatalia sababu yeye ana degree ya accountacy.

Lakini pia alisoma diploma ya accountancy.

Kazi iliyotangazwa inataka kigezo kiwe diploma ya accountancy, lakini sababu yeye ameweka vyeti vya diploma na degree ya uhasibu anaonekana ame-over qualify

Je, kuna uwezekano wa kufuta cha degree kwenye system kibaki cha diploma?

Maana sio fair, watu wana vigezo lakini wanaonekana over qualify.

Wataalamu karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie afungue akaunti ingine kwa kutumia email id ingine.. Aki upload asiweke cha Bachelor.
 
Sasa unataka utumie Moja ina make sense!,mfano kuna post3 ya Assistant custom,assistant investigation na Assistant revenue hapo utatumiaje Cover letter moja?

Pia mfano kuna Post 2 Assistant accountant TRA ,Assistant accountant TEMESA utatumiaje Cover letter moja!

Ezekiel Mbaga
Mkuu, na hy cover letter una-attach wap
 
Back
Top Bottom