Leo nikiwa viunga vya mji wa Arusha kuna wageni wawili kutoka nje ya nchi walikuja na pesa zao za kigeni wakitaka kupata huduma, wakaambiwa kwamba maduka yote yamefungwa kwa amri ya serikali. Walishangaa sana wakatuuliza nyie watanzania mbona mnafail kila kitu?
Mmoja akasema mfukoni mwake ana pesa ya kitanzania isiyozidi 3,000/= elfu tatu tu! nilimwona amefadhaika sana akajiuliza atalala wapi na atakula nini.
Baada ya tafakuri ya muda mrefu nikaanza kukumbuka biashara ya magendo ya dola itaibuka muda si mrefu. As long as there is demand there will always be supply.
Wanalazimisha biashara ya ulanguzi wa pesa ya kigeni. Kuongoza ni maarifa we could have taken an alternative approach to avert the status quo.