Kufungwa kwa Bureau De Change

truth'spassword

Senior Member
Dec 4, 2013
188
250
Leo katika pita pita yangu mjini nakihela changu kiduchu, nikasema niende nikachange maana rate ilikuwa nzuri kweli siku kadhaa zilizopita.. ndio nkakutana na kizungumkata chake, maduka yote yamefungwa ni mpaka uende benki. Maelezo niliyoyapata hayaridhishi, kwamba hawa jamaa wamekiuka masharti fulani, sasa ni wote kweli ? Na ndio watawafungulia lini ?
Mwenye uelewa mpana juu ya hili wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Kwani wewe habari huwa hamsomi wala kutafuta? Tanzania kuna raia wazembe sana ndio maana umasikini na ujinga hauishi... news zimeshika mashiko wiki nzima and then mtu hajui kinachoendelea na unafiki pia unakuta hata kuna thread kachangia kuhusu report ya BOT ananzisha uzi as if kazaliwa leo
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,805
2,000
From Free Market Country to Soviet Union in just Three years dawa sio kufunga Forexess Dawa ni yeye kushuka Madurokani
 
  • Thanks
Reactions: BAK

tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,390
2,000
Serikali imenyang'anya fedha zote kwenye maduka ya kubadilishia fedha/ bureau de change zikiwemo dola zote ili kuokoa dola isishuke zaidi. Hii ni short-cut tatizo lenyewe ni kuwa hatuna dola kwa kuwa hatuuzi bidhaa nje ikiwemo korosho, wameacha tatizo la msingi wameanza ujambazi na unyang'anyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
truth'spassword

Senior Member
Dec 4, 2013
188
250
Kwani wewe habari huwa hamsomi wala kutafuta? Tanzania kuna raia wazembe sana ndio maana umasikini na ujinga hauishi... news zimeshika mashiko wiki nzima and then mtu hajui kinachoendelea na unafiki pia unakuta hata kuna thread kachangia kuhusu report ya BOT ananzisha uzi as if kazaliwa leo
yaani we kama ni wa kiume, basi utakuwa wale wa LGBT.... We unajueje kama sikuwa mjini during this week ? Usipende kuhamaki ndugu, unaonesha ulivyo mpumbavu kwa kila mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
yaani we kama ni wa kiume, basi utakuwa wale wa LGBT.... We unajueje kama sikuwa mjini during this week ? Usipende kuhamaki ndugu, unaonesha ulivyo mpumbavu kwa kila mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona imekuingia haswa kocho we mnaleta thread ovyo ovyo tu tunafungua kusoma unakuta ni aina ya comment tu Mod One unganisheni hii thread kwenye uzi wa bot kujibu funga funga ya bureau de change...

Hili bwege lishakili lilikuwepo wiki nzima na linajua sababu ya kufungwa maduka machache yaliyofanya makosa... linajaza server tu. Mitoto ilikua na madada zake ni shida sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom