Kufungua shule ya chekechea- english medium

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,277
wakuu habari, ninampango wa kufungua shule ya awali au kwa jina lingine ni chekechea, lakini itakuwa na mfumo wa English medium na pia nitaweka day care. ombi language Kwenu kama kuna mtu mwenye uzoefu na haya masuala,naomba anipe maujanja ya kufanikiwa, kwa maana nitumie mbinu gani kupata wanafunzi,bei, location gani nzuri, juu ya uendeshaji wake, mishahara ya walimu in kwa kuanzia kiasi gani, na mengineyo. walengwa wa while hii au Wateja nimelenga kupata watoto wa kipato cha chini na cha kati. msaada ndugu
 
Upo mkoa gani?
 
Back
Top Bottom