Kufungua radio station

Kufungua radio station

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
870
Reaction score
814
wadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
 
Cc Radio Producer,

pasco
 
We kiboko huna hela sasa hy redio utaiendeshaje? Hata redio za jamii kule vijijini nadhani unapitia tcra ,OK subiri wataalamu zaidi waje
 
mi bado chaliii sina ela ila ela ya umeme mnara mmoja na vifaa vidogo va studio ninauwezo maana ni nyumbani
Leseni upewe bure? Survey wa mnara ajitolee? OK ni heri uombe fund sehemu, hkn cha bure
 
wadau wa jf habari nina transmitter ya fm radio wat 500 ila nahitaji kufungua radio station ya umbali kias tu,angalau ifikie ata mitaa 5 pekee ila sifahamu kama tcra watakubali maana ela ya kulipia trca sina wala gharama za serikali pia sina ela wadau naomba mnishauri nifanye vp ili niweze fungua radio ? na pia ni umbali upi trca wanaukubali ambao sitaulipia na radio ni kwaajili ya mziki tu msaada wadau kwenye ili
Ndugu mbona unataka kufanya kazi tofauti na utaratibu? Utaingia matatani. Unasema kwa ajili ya mziki, kivipi yaani wewe utapiga mziki kuwaburudisha watu ili iweje bila kupata faida yeyote? Sasa huo mradi wako uendelevu wake utatoka wapi? I mean, ulipe umeme, mic, ununue album kisha wewe uwaburudishe watu bila faida?? Ningekushauri ukae chini upige hesabu za mradi wako uone capital utakayotumia kuwekeza humo na returns zake. Kisha ufuate utaratibu usije kupata matatizo ya kurusha matangazo hata kama yanafika mtaa wa tatu toka unapoishi, utahojiwa ndugu yangu.
 
Mada Nzuri Kama Hii Ambayo Soon Italeta Kiwanda Haraka Kwa Maendeleo Ya Taifa Letu
Yupo Member Mmoja Anatoa Huduma Za Ushauri Na Hata Kufunga Radio, Acha Nimwite Kwenye Hii Thread Yako Aje Atoe Madini

CC: Radio Producer
 
Mkuu hio haiwezekani, ili upate masafa ni Lazima ufate taratibu imagine umerusha mawimbi yako na yakaingiliana na frequency ya radio ingine eneo hilo huoni utajiweka matatani sana regardless umbali, Ni lazima uende tcra uombe vibali na wakupe frequency ambayo haijachukuliwa kwa eneo au mkoa uliopo masafa hayo ndio utatumia ku broadcast Ktk specific mkoa kama ni Tz nzima utapewa masafa ya kila mkoa na hizo transmitter zako ndo utaset kuwa urushe ktk masafa uliyopo kinyume na hapo unakuwa umekiuka sheria
 
Leseni upewe bure? Survey wa mnara ajitolee? OK ni heri uombe fund sehemu, hkn cha bure

yani ata leseni kulipia ni zaidi ya milion iyo pesa mi sina ila kama kwa kurusha eneo dogo kama ni garama kidogo nafikiri nitaweza maana mi sina vifaa vya kurusha eneo kubwa zaidi
 
Ndugu mbona unataka kufanya kazi tofauti na utaratibu? Utaingia matatani. Unasema kwa ajili ya mziki, kivipi yaani wewe utapiga mziki kuwaburudisha watu ili iweje bila kupata faida yeyote? Sasa huo mradi wako uendelevu wake utatoka wapi? I mean, ulipe umeme, mic, ununue album kisha wewe uwaburudishe watu bila faida?? Ningekushauri ukae chini upige hesabu za mradi wako uone capital utakayotumia kuwekeza humo na returns zake. Kisha ufuate utaratibu usije kupata matatizo ya kurusha matangazo hata kama yanafika mtaa wa tatu toka unapoishi, utahojiwa ndugu yangu.

ingekuwa nataka radio ya kibiashara inahitaji garama kubwa na kulipia mapato ila ni radio ya kijamii sana sana mziki ila ya dini alfu pia ndio nimeomba ushauri sijaamua kurusha matangazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom