Kufungua IDEOS

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
199
Jamani nina simu Ideos imebanwa na kampuni ya simu nataka ifunguliwe ili niweze kutumia line ya kampuni yoyote. Naomba msaada kwa anayejua mahala nitakapopata mtaalamu wa kuifungua itumie line yoyote. Natanguliza shukrani za dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom