Ndugu zangu wanajamiiforum,nimesikitishwa sana na ukimya uliopo sasa kuhusiana na kifungo cha gazeti pendwa hapa Tanzania la mwanahalisi,tangu gazeti hili lilipofungiwa kwakweli nimesaliwa na gazeti moja tu ambalo nalisoma ambalo ni Tanzania daima,sijisikii kusoma gazeti jingine lolote, nimekua nikjiuliza kwanini serikali imekuwa ikiliandama gazeti la mwanahalisi bila kujali athari tunazozipata wasomaji,na wanjua kua watanzania tunahaki ya kupata habari,mi ningefarijika kama waziri wa habari angelifafanua hili ili tujue wamefikia wapi?pia wamiliki wa gazeti la mwanahalisi watujuze wapenzi wa gazeti hili wamefikia wapi ili tuwe na matumaini ya kuliona tena sokoni,,........siwezi kuendelea kuandika mengi kwani nina uchungu sana hata kutaka kuandika matusi niishie hapo ila naomba serikali itazame athari tunazozipata watanzania kwa maamuzi ya kisiasa yanayochukuliwa na wenye madaraka#$%^&*()()()