Kufungiwa kusajili line

Kufungiwa kusajili line

mariam1111

New Member
Joined
Nov 24, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Habari nianzie wapi nimeibiwa simu ndogo kwenye mwendokasi sasa nikaenda kurenue line imenigomea naambiwa namba ya NIDA imezuiliwa wakajaribu kusajili line mpya imegoma pia Naomba uzoefu shida ni nini
 
Hiyo simu ilivyoibiwa ulifunga line? Kama haukuifunga wazee wa “tuma kwenye hii namba” na wanaofanana na hao waliitumia kupiga matukio.
 
Back
Top Bottom