Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Nipe experience mkuuHii ni changamoto mno,kila la khery.
Ni ngumu sana malezi ya watoto.Nipe experience mkuu
Ugumu ukoje chiefNi ngumu sana malezi ya watoto.
Ya kiislamu inakua ngumu kwanguFunga ndoa ya kiislamu...then kila mtu abaki na imani yake.. ndoa ya kiislamu ina faida kwako mwanaume kuliko hizo zingine
Matatizo yapi mtaalamuKama hmajelewana nani amfuate nani, jamaa acha kabisa hiyo ndo utapata matatizo mbeleni halafu uje useme wanawake wabay.
Mm sio mkatoliki, na hata ningekua mkatoliki huyu mwenzangu hataki ndoa ya kikristoKama ni wewe ni Mkatoliki nenda walau ukafunge ya mseto kanisani, hiyo ya Bomani kiimani utaendelea kuwa mzinifu na mzinishaji. Yaani hapo kama imeshindikana kabisa kumshawishi akufuate. Kama ni dhehebu lingine sifahamu utaratibu
Sasa kwa Imani yake, si itakua anahesabika kuwa anazini tu?Mm sio mkatoliki, na hata ningekua mkatoliki huyu mwenzangu hataki ndoa ya kikristo
Good experience, ndoa yao waliifungia wapi?Niliwahi pata msichana wa islamic ukweli tulikuwa tunapendana sana aligoma kubadiri kabisa ila alikuwa na upendo na maadiri sana ilibidi tuachani na kuachana kwetu nilimuomba ahame mkoa ilikuwangumu nikaamua badiri namba ya simu,
Hapa jirani kuna jamaa ameoa mkristo yaani lifestyle yao akizaa mtoto wa kike mama atampeleka kanisani ila akizaa wa kiume baba atampeleka msikitini, na jamaa anampenda mke wake asikwambie mtu, na mwanamke anamheshimu mme wake balaa,