Kwa jicho hilo kweli nitaponaSubiri siku kuu ziishe ndo tukusaidie View attachment 975445
Hivi ukifanya hvi naweza endelea kutumia internet kama kawaida?Piga *35*0000#
[emoji3][emoji3][emoji3] waweke blacklist usiowataka wakupate hewani kama simu yako ina hiyo hudumaMaji yapo shingoni naombeni msaada wenu
Secret Sms And CallPoa, ila me naomba ambayo wao wasiweze kunipata hewani ila me naweza kuwapigia.
Kutoa #35*0000#Asante sana mkuu, kutoa lock nafanyaje mkuu