Kufunga camera sebuleni ni sahihi?

Kufunga camera sebuleni ni sahihi?

Kuna kitu ulitaka kukifanya hapo nyumbani kwake bila shaka, haiwezekani mtu kajenga nyumba yake ww uje kutoa ushauri asifunge kamera sebuleni kwani kuna tatizo gani au zinakuzuia kufanya nini hadi uhoji?
 
Nyumba yake gharama zake sbb za kufunga pia ni zake.

Kwa nn upate shida kumshauri kwani wataka fanya nn against matarajio yake?

Na kama ni ivo basi hizo cctv zinakuhusu. Jirekebishe unapokuwa ugenini.
 
Mimi ni mfunga camera

Kabla ya kufunga camera huwa tunamuuliza muhusika anataka kufunga camera kwa ajili ya nini, then tunamshauri

Si wote wanafunga camera kwa ajili ya kumkamata mwizi, wengine wanafunga kwa ajili ya wafanya kazi wa ndani kwa kuogopa kunyanyasiwa watoto wao,
Umeeleza vizuri sana ... Kama unajiamini kwa nini uwe na hofu na kamera ..sebule ni public place....inatumika na zaidi ya wanafamilia.....
 
Surveilance haina Sehemu maalumu popote pale unapotaka kupa monitor ni sahihi kupafunga ila angejitahdi akafunga Cam ambazo ni ngumu kugundulika na mtu kwa public area kama izo
 
Sio chumbani mkuu ili upate ushahidi wote
Hapana mkuu. Siwezi funga sebuleni, chumbani ama chumba cha watoto au wageni. Naweka koridoni ama mlango mkuu wa kuingilia ili kuepusha kuanza kuwachunguza watu wa nyumbani kwako. Hizo ni security system kwa ajili ya watu wa nje sio wa nyumbani mwangu.
 
Hapana mkuu. Siwezi funga sebuleni, chumbani ama chumba cha watoto au wageni. Naweka koridoni ama mlango mkuu wa kuingilia ili kuepusha kuanza kuwachunguza watu wa nyumbani kwako. Hizo ni security system kwa ajili ya watu wa nje sio wa nyumbani mwangu.
Ok mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom