Kufukua makaburi ya Gwajima hakutawasaidia

Kufukua makaburi ya Gwajima hakutawasaidia

Hizo video zake sidhani kama kuna mtu yuko interested nazo,ilishapita na wala haiwezi kuathiri press ya jana.
Hivyo ni ujinga kuanza kupost picha za zamani
 
Kura Za Maoni Hukushinda Chama
Kikaamua Kukubeba - Kawaida

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa @comrade_kawaida ameandika barua ya wazi kwa Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima baada ya Mbunge huyo kufanya mazungumzo na waandishi wa habari siku chache zilizopita kufuatia Sintofahamu ya watu kupotea nchini Tanzania

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kawaida ameandika ujumbe huu
"Umeahidi wananchi umeshindwa kutekeleza, licha ya kuwa kura za maoni hukuongoza Chama kikaamuwa kukuamini ila leo umeshindwa kurudisha imani ya Chama na Wananchi na zikiwa zimebaki siku chache kwenda kwenye mchakato wa ndani wa chama ndio unajaribu kutengeneza fitina na majungu ili uonekane umeshindwa kwasababu uligombana na mfumo kwakusema ukweli, hapana hii haikubaliki na hatuwezi tukakukalia kimya, tukutane site@bishopgwajima"
FB_IMG_1748311781365.jpg
 
kwahiyo gentleman,
leo uwalipe askari mshahara mzuri kwaajili ya hizo drama wanazofanyiana wanasiasa wao kwa wao right? Polisi wanahusikaje hapo?then kesho tena uwalipe mishahara mizuri dhidi ya madawa ya kulevya, mtondogoo uamke tena uwalipe mshahara mzuri wakadhibiti kiherehere na makosa ya uzembe wa waandesha magari right?

halafu tena uje kuibuka baadae eti uwalipe mishahara mizuri wakadhibiti ubakaji. Unaweza kuzuia upwiri wewe gentleman? Unawezaje kumditact mwenye upwiri anaeelekea kubaka?

yaani upigwe na kupotezwa na wadeni au wagoni wako huko kwa tamaa na dhuluma halafu usingizie mshahara ya polisi, that's nonsense.

hakuna kubadili mishahara,
polisi tanzania daima ni waadilifu, na wanafanya kazi zao kwa weledi wa kiwango cha juu sana kuwalinda waTanzania.

ni vizuri wanasiasa kuheshimiana na kwakweli kuhakikisha hawadhulumiani wala kudaiana madeni yao kwa hila.
Aidha ni vizuri kuishi na watu vizuri 🐒

Rubbish🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom