DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,201
Gwajima hana deni watanzania hatumdai . amefanya Kazi yake vizuri Sana .
Ile kuuma na kupuliza ni lugha ya kifalsafa ambayo MTU huitumia ili ajihakikishe usalama wake kuwa secured.
Na hii ndo silaha kubwa ya watu wenye utambuzi wa mambo .
Ikiwa watafukua kaburi je watakutana na nini ndani ya kaburi ahaaa!!