Kufukua makaburi kwenye mahusiano

Kufukua makaburi kwenye mahusiano

Kama mpenzi wako kuitwa kuchat na wanaume au wanawake utaachaje kumkagua?

Ukimkagua ndio inakuwaje sasa?
Ukitaka kudhibiti mpenzi wako, kama yeye hayuko tayari kubadilisha mindset yake ni kazi bure.
Mkague simu yake, mfuate nyuma kila anapokwenda, kama hayupo tayari kubadilika yeye binafsi from inside.
There is nothing you can do with'em.
 
Sasa solution ni nini mkuu? Huenda anafanya haya kwa kumdharau mmewe hana pesa compared to her ex's, anaomba wengi na kila alichagua simu anakuta msg kibao,, pls nicall via mom? Oh nisendie pesa etc aliwahi kuambiwa kublock wanaume wote waliowah kumingo naye zamani ila recently kafungua akaunt mpya au anacommumicate kisha anakuta

Dawa ni nini?
 
aliwahi kuambiwa kublock wanaume wote waliowah kumingo naye zamani ila recently kafungua akaunt mpya au anacommumicate kisha anakuta

Dawa ni nini?
Hilo ndio tatizo ninalokwambia, kama hajaamua kubadilika yeye binafsi, hata umdhibiti namna gani, its nothing, atabuni namna ya kukamilisha mission zake.

Solution:
Zungumza nae in details and seriously kuhusu mienendo yake. Kama anathamini mahusiano yenu atabadilika.
Kama hataki kubadilika.
Usiogope kuachana nae (utakuwa umeepukana na tatizo la maisha yako in so many %).

Jifunze kutua mizigo.
 
'ZUNGUMZA NAYE IN DETAILS KUHUSU MWENENDO WAKE '

Nilishazungumza naye ila tofauti ni hii in 'detail ' let me do it in detail

THANK U MKUUU!
 
hivi kwann wanaume wanaogopa sana kujua mahusiano ya nyuma ya mwanamke..

halafu i thought ni kwa wapenzi tu but hata my mchepuko hatakagi kujua my past relationship...
 
Dah... Kwa mwanaume kama kiongozi ni vizuri ukafukua makaburi yote ya mwenzio kwa siri bila yeye kujua... itakusaidia kufanya maamuzi sahihi ya kila siku...cha msingi uwe na kifua cha kuhimili unayoyakuta.. wenyewe wanaita intelejensia ya nyumbani[emoji13] [emoji13]
 
Binafsi nimeshazoea, kufukua makaburi ni miongoni mwa burudan zangu ndogo ndogo ninapokuwa na dem
 
  • Thanks
Reactions: etb
Sasa solution ni nini mkuu? Huenda anafanya haya kwa kumdharau mmewe hana pesa compared to her ex's, anaomba wengi na kila alichagua simu anakuta msg kibao,, pls nicall via mom? Oh nisendie pesa etc aliwahi kuambiwa kublock wanaume wote waliowah kumingo naye zamani ila recently kafungua akaunt mpya au anacommumicate kisha anakuta

Dawa ni nini?

Samahani kwa kuingilia swali mkuu....lakini lengo letu ni moja tu ambalo ni kujenga.......

Katika mahusiano kuna mambo mengin sana.....na ni vigumu kumdhibiti mwanamke kwa asilimia mia......lakini wakati mwingine ni vyema sana kudhibiti mianya midogo midogo itakayompelekea mpenzi wako aingie kwenye vishawishi........

Wanaume wengi tunajikuta tunabadilika baada ya kuingia kwenye mahusiani rasimi iwe ya ndoa kabisa au uchumba sugu.....kiasi kwamba tunasahau kuwafanyia wapenzi wetu mambo ambayo tulikuwa tukiwafanyia zamani....ambayo nina hakika walikuwa wanayafurahia.....ni mambo madogo kimtazamo lakini ni makubwa na yana tafsiri kubwa kwenye mahusiano......

Kitendo cha huyo mwanamke kuwakumbuka watu wake wa zamani hasa kifedha....au kwa namna nyingine ni ishara kuwa kuna pahali huyo amejikwaa na kumfanya huyo mwanamke ajikute mpweke na upweke umepelekea kuwa na kumbu kumbu na mambo ya zamani..........

Watu wengi walishawahi kuumizwa huko nyuma hivyo ujio wao kwako ni kwamba wanahitaji faraja na kupona yale maumivu ya zamani......

Mwanamme unatakiwa ujitahidi kutimiza wajibu wako kwa kila hali ili furaha itawale kwenye mahusiano yenu.......

Mwanamke anapenda kulelewa, kujaliwa na kubembelezwa.....vikikosekana hivyo kwenye mahusiano lazima mwanamke avitafute sehemu nyingine.....na hapo ndipo unakuta mwanamke ameolewa na mwanamme ambaye anaonekana amejitosheleza lakini bado anatoka na vijana wa ajabu ajabu....mtaani au ofisini....
 
Nimehimu kufukua matukio huwa yanajirudia,
Tabia za watu Ni km ngozi Ni ngumu kuivua.
 
hivi kwann wanaume wanaogopa sana kujua mahusiano ya nyuma ya mwanamke..

halafu i thought ni kwa wapenzi tu but hata my mchepuko hatakagi kujua my past relationship...
Dah... Ungejua wametafuta kwa njia zao... wanajua kila kitu... Ila hawataki kukuvunja moyo tu kwa kuwa wanapata wanachokitaka[emoji13] [emoji13]
 
Unakuta mtu kanuna kumbe amefukua kaburi.

Bora uwaze yajayo tu.
 
Niko tofauti na mtoa mada kwa upande tofauti.

Mahusiano yaliyo mengi yenye future kama ilivyo desturi yetu wa Afrika wazazi hutuasa sana kuchunguzana vyema kabla ya kufikia kufunga pingu za maisha.

Katika kuchunguza huwezi acha kufukua makaburi ili kumjua mwenzi wako kiundani na tabia zake halisi. Kama alikuwa jambazi, muuaji, changudua, malaya au vyovyote ambavyo visingekupendeza then ujue unachukua uamuzi gani.

Swala la maamuzi ndilo linabaki juu yako kama unaamini utaweza kumbadilisha au ameshabadilika na kuwa upendavyo ama kujua ana pretend ili kutimiza lengo la kuoa au kuolewa.
Siku zote wazee na wazazi wakuwa wakituambia tengeneza maisha yako leo ili kesho uwe na historia nzuri.
Kama mtu unafanya mambo yasiyopendeza ili kesho uje umwambie mwenzako AFUKIE MAKABURO then nakukumbusha,
Hata kama uwe jasiri vipi huwezi kuwa tayari kwa mahusiano ya kufa na kuzikana bila kujua background ya mwenzio na kuifanyia maamuzi sahihi kwa wakati muafaka.

Fakiria hivi unachagua eti sitaki kufukua makaburi ya mwenza wako na kuamua kufunga pingu za maisha as soon as possible.
Kesho unaenda naye out unakutana na mtu anamkaba koo kumdai simu aliyomuibia wakati alipokuwa akijiuza. Moyo wako utatulia tuli na kusema nimefukia makaburi kweli?
I say no way, you need to know everything about your partner at the right time and make the right decision.
 
Samahani kwa kuingilia swali mkuu....lakini lengo letu ni moja tu ambalo ni kujenga.......

Katika mahusiano kuna mambo mengin sana.....na ni vigumu kumdhibiti mwanamke kwa asilimia mia......lakini wakati mwingine ni vyema sana kudhibiti mianya midogo midogo itakayompelekea mpenzi wako aingie kwenye vishawishi........

Wanaume wengi tunajikuta tunabadilika baada ya kuingia kwenye mahusiani rasimi iwe ya ndoa kabisa au uchumba sugu.....kiasi kwamba tunasahau kuwafanyia wapenzi wetu mambo ambayo tulikuwa tukiwafanyia zamani....ambayo nina hakika walikuwa wanayafurahia.....ni mambo madogo kimtazamo lakini ni makubwa na yana tafsiri kubwa kwenye mahusiano......

Kitendo cha huyo mwanamke kuwakumbuka watu wake wa zamani hasa kifedha....au kwa namna nyingine ni ishara kuwa kuna pahali huyo amejikwaa na kumfanya huyo mwanamke ajikute mpweke na upweke umepelekea kuwa na kumbu kumbu na mambo ya zamani..........

Watu wengi walishawahi kuumizwa huko nyuma hivyo ujio wao kwako ni kwamba wanahitaji faraja na kupona yale maumivu ya zamani......

Mwanamme unatakiwa ujitahidi kutimiza wajibu wako kwa kila hali ili furaha itawale kwenye mahusiano yenu.......

Mwanamke anapenda kulelewa, kujaliwa na kubembelezwa.....vikikosekana hivyo kwenye mahusiano lazima mwanamke avitafute sehemu nyingine.....na hapo ndipo unakuta mwanamke ameolewa na mwanamme ambaye anaonekana amejitosheleza lakini bado anatoka na vijana wa ajabu ajabu....mtaani au ofisini....
Wajibu wa ndoa/mahusiano ni wa wote wawili..!

No one is excused for their partner's mistake,
usimpe mwanamke excuse ya kuchepuka kisa mwanaume ameonesha weakness fulani katika mahusiano, huwa kuna nyakati za kuanguka na kuinuana.
(otherwise hii post yako aisome mwanamke anayejitambua sana, it is too permeable)
 
Back
Top Bottom